Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You only spent 338 million dollars in the first 10 months of 2023 while Kenya spent 680 million dollars during the same period. That's double the amount, yet it was a drop. Bado mko nyuma sana kijana mdogo.

View attachment 3215209

🤣🤣 wewe hiyo data yako iko wapi.? 🤣🤣🤣 kwasababu hii list inaeleza wazi sisi tumeagiza gari mingi almost 15k more cars of what you ordered. 👇🏾na hizo ni japanese Cars tu 🤣🤣🤣 achana na wale wanunua mabasi ya kichina na waingiza chuma za ki western, na zile buses 1000 za BRT from marcopolo G7. Haya tueleze hapo hiyo thamani ya gari za kenya iko wapi tulinganishe. 🤣🤣🤣
 
Yet you only spent 330 million dollars on cars. 🤣 🤣 🤣 Watu sio wajinga bana.
 
The most pathetic excuse ever.....kumbe wewe mdo mjinga hivyo!!
 
Every politician is corrupt, kwa wa Tanzania is the most corrupt. Just because you don’t expose them haimanishi they are clean.
Chuchungeeee 😂 😂 😂 bana eti most corrupt unajua kuna miradi ilianza same na your fictitious ones.

Unakumbuka Magufuli Bus Terminal na Nairobi Green Bus terminal sasa nani alipiga ufisadi?

Unakumbuka Kigogo Busisi Bridge na Mombasa Gated Bridge ila now Kigogo Busisi iko 90% wapi Mombasa 😂😂😂😂

Wazee wa katiba bora, demoghasia, handshake mmetoboa wapi?
 
While only 30% of households are connected to electricity while 80% of Kenyan households are connected to electricity.
Toka uzi unaanza ndio ka kauli kako as if hakuna kinachofanyika. Unasubiri bwana wenu aseme au?
 
Hadi Kondomu hawana hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…