Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee unazungumzia assets.? 🤣🤣🤣 huo mjadala huwezi kutia mguu humo. Kaa mbali kabisa. Inawezekana mkatushinda kwa kuzalisha faida ila sio assets. 🤣🤣🤣
Ebu Leta assests za top 10 companies in Tanzania tulinganishe na only one company in Kenya. Please bring with evidence juu tunakujua na empty words.
 
Ulianza na kukana hakuna foreigner mweupe wanafanya illegal mining in bongoslum. Eeehhhh wachina mia moja walikamatwa, bado unapinga sio. 🤣 🤣 🤣 Nani alisema Kenya hakuna madini? Kwani unadhani Geography tumekua tukifunzwa nini since primary school?
Wakufanya illegal mining wanakamatwa na kuadhibiwa
 
Wamekamatwa Kisha kupigishwa magoti na afande wa wilaya ingekuwa Kenya hapo makenya yangekuwa yenyewe ndo yanapigwa
Kupigishwa magoti ndio adhabu? Kwanza hao jamaa wanawadharau ndio maana mmoja anavuta sigara even after kupatwa na hatia.
 
Kupigishwa magoti ndio adhabu? Kwanza hao jamaa wanawadharau ndio maana mmoja anavuta sigara even after kupatwa na hatia.
Baada ya hapo jera inawahusu sio kama Kenya mchekacheka tu na wachina kwakuwa wanamiliki miradi yote mikubwa
 
Baada ya hapo jera inawahusu sio kama Kenya mchekacheka tu na wachina kwakuwa wanamiliki miradi yote mikubwa
Hao waliwachwa hapo bila kufanyiwa chochote, Kama unapinga Ebu tuonyes picha yao wakiwa Hela ama hata kotini.
 

Mali ya mchina ndio hii. 👇👇

On February 4, 2004, a senior Chinese official visiting Dar es Salaam announced that the Chinese government would provide a grant to the Government of Tanzania for the Benjamin Mkapa National Stadium Construction Project (or Tanzania National Main Stadium or 坦桑尼亚国家体育场)
Project | china.aiddata.org
 
Back
Top Bottom