Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Kibera kuna dual carriageway ondoa ushamba hapa.Leo naweka barabara zinazozunguka Mkapa stadium, wale wanaosema imezungukwa na Kibera WaoneView attachment 3213683View attachment 3213683
Kibera kuna dual carriageway ondoa ushamba hapa.Leo naweka barabara zinazozunguka Mkapa stadium, wale wanaosema imezungukwa na Kibera WaoneView attachment 3213683View attachment 3213683
Kibera kumbe kuna BRT na hamsemi.? 🤣🤣Kibera kuna dual carriageway ondoa ushamba hapa.
Wewe ni junya.Kibera kuna dual carriageway ondoa ushamba hapa.
Hilo ni junyaKibera kumbe kuna BRT na hamsemi.? 🤣🤣
Ungekuwa unahangaika na lamu port kama hivi, ingekuwa mbali sana mpaka sasa......
🤣🤣 eti Junya. Dah.!!Hilo ni junya
😂😂😂😂 niliskia kondoo mmoja anasema sportpesa inadhamini ligi yetu
View: https://x.com/tplboard/status/1882777340188787006?s=46
Dalili za fungal infection huko nyuma! Muone daktari ASAP!Kibera kuna dual carriageway ondoa ushamba hapa.
Unatafuta pakutokea BRT Nani kasema 😀Kibera kumbe kuna BRT na hamsemi.? 🤣🤣
Hasira zimezidi huyu, bado hujanichukia 😂😂😂Hilo ni junya
Kwani Kenyatta ni mwarabu?Wakina Kenyatta sio politicians wenye utajiri wa familia!
Actually ni asilimia mia Moja 😂😂Huyo hajatembea laiti angefika hapo Nairobi na kuona asilimia 90 ya wakazi wa Nairobi wanavoishi kwenye mabanda ya mabati sijui angesemaje
Lamu Port is handling Tanzanian Transhipment, mbona nihangaike nayo?Ungekuwa unahangaika na lamu port kama hivi, ingekuwa mbali sana mpaka sasa......
Sio kwa povu hili.
There is no dual carriage way passing through their slums, so lazima tu uwaelewe.Kuna mbwa mmoja ameshikwa na hasira kuskia Kibera kuna dual carriageway. Punguzeni ushamba maku nyinyi 👇😂View attachment 3213826
Voted by Kenyans, let that sink in your thick head.
Dude thought he would impress us with dual carriageways 🤣🤣There is no dual carriage way passing through their slums, so lazima tu uwaelewe.
Si ni sisi tulimpigia hizo kura. Ama hujui how OCCRP works? Ooohhh wengi wenu hamko on X.
Hata hawakujua voting like that was happening 😂Si ni sisi tulimpigia hizo kura. Ama hujui how OCCRP works? Ooohhh wengi wenu hamko on X.