Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Voted by Kenyans, let that sink in your thick head.
Wanafikiria inatuuma hawajui ni sisi wenyewe tuliamua hivo. unajua kwao ni dhambi kukosoa sisiemu 😂😂😂
Wanashinda wakipost Raila akikashifiwa kwa kiti ya AU, ilhali ni wakenya wenyewe wanao campaign for Youssuf… wanafikiria wakenya ni narrow minded kama hao..
 
Voted by Kenyans, let that sink in your thick head.
Screenshot_20250125-221255~2.png



Is Globally Kenya only? 😂
 
Mali ya mchina ndio hii. 👇👇

On February 4, 2004, a senior Chinese official visiting Dar es Salaam announced that the Chinese government would provide a grant to the Government of Tanzania for the Benjamin Mkapa National Stadium Construction Project (or Tanzania National Main Stadium or 坦桑尼亚国家体育场)
Project | china.aiddata.org
na hii itakua ya nani ??😂😂😂😂
uwanja wa benjamin umejengwa 2005 na walikua wanarudisha fadhila baada ya mwalim nyerere kuwasaidia sana

sasa nyinyi 2025 bado munasubiri mchini atoe hela yake ajenge alaf aimiliki 😂😂😂


View: https://x.com/nationafrica/status/1765302835229392935?s=46
 
😂😂😂😂😂😂😂 yani mpaka mchina aamue kujenga kwa pesa zake ndio munasonga mbele na sijui ataimiliki kwa miaka mingap ya rabbi
Sasa mchina ajenge kwa pesa zake alafu andike ati miliki ni GOK? Labda kwa ndoto yako.
 
Sasa mchina ajenge kwa pesa zake alafu andike ati miliki ni GOK? Labda kwa ndoto yako.
kwani expressway aliandika yeye mmiliki?? na ni ppp kama stadium au akili yako inawaza jaba 😂 yani ww sometimes ni kama mwehu
 
Back
Top Bottom