Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Online data pia siku hz wameanza kuzikataa, now they are relying on online development 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mchina anamiliki kila kitu Tanzania, zile zenye zimebaki zinamilikiwa na warabu na wakenya. Watanzania Kama wewe mmeachiwa uchawi na kuimba mama 24/7.
Leta fact kama sie tulivyoleta fact kwenu jinsi mchina anavyomiliki kuanzia barabara, majengo, mtambo wa chang'aa na bandari ya lamu na Mombasa mshampa mahindi Kuna siku itafika mkenya atamlipa mchina toll ya kutembea Kwa miguu na kuvuta pumzi
 
Tulijenga a 60k seater stadium 30yrs hata before mjue Mchina atawajengea Makwapa Stadium. So please do tell us, why build a stadium in the bush where there are no roads and electricity? Who is going to play there?

Ni ujinga kujenga uwanja wa mpira ndani ya CBD. Lazima utanue mji kidogo... Ila kwa Nchi ya hovyo ambayo barabara zipo CBD pekee... Nje ya mji ni slums tupu na vibaka bhas usalama wao na kuficha aibu ni kujaza kila kitu CBD.

Chukua mfano wa Hassan II stadium wa pale Morroco. Utaona namna uwanja uko mbali na shughuli na pilika za mjini. Mji inabaki kwa ajili ya biashara na kazi. Sio kujaza watu wa kelele za mpira huko.
 
kila sehemu wanakula bomba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://x.com/john_papss/status/1883014133689553381?s=46
Ndiyo mana hayaleti matokeo humu kumbe yanabakwa hata huku 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Yamebaki kuongelea talata jua kali stadium a.k.a Amahoro version 2 stadium, yn nchi nzima wanaongelea mradi mmoja ambao sio massive, yn mambo cc tushafanya miaka 20 iliyopita huko wanafanya leo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…