Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Heb taja investment yoyote hapo kenya ysnye you bragging of having them yenye si mali ya foreigner. 😂😂😂 hadi mashamba kwenu ni mali za watu weupe.. hilo taifa vichaa.?
Yaani huu muda wote unasema vitu haujui??
Taja hao wazungu wanatawala Kenya tuone, wacha upuuzi 😂😂😂😂
 
Yaani huu muda wote unasema vitu haujui??
Taja hao wazungu wanatawala Kenya tuone, wacha upuuzi 😂😂😂😂
Taja mradi hata mmoja hapo kenya wemye si mali ya mtu mweupe mgeni .. 😂😂😂 mana nikiamua kutaja nitataja miradiym ya karibu taifa zima. 😂😂😂
 
Nyinyi ni vigeugeu, topic imeanzia kuwa Sportspesa ina uniliki wa wakenya, mkaanza kusema eti ni ya waingereza blahblahblah…wakati huo hankuona ubaya wowote,
Sasa mkigeuziwa mnaplay victim
Tofauti yenu na yetu ni kuwa wakenya wenyeji pia wana bidii kuweza kutengeneza mali kama wengine. Its more of a challenge kwa watanzania rather than ukabila, wachangamke!! Na mkiona mtu mweusi amefaulu msianze kusema eti ni mali ya mzungu, ila tukiwaambia ukweli sasa imekuwa ukabila 😂😂😂
Unalazimisha umiliki nyoko wewe? Sportpesa Kenya is only 48% Kenyan owned huwezi ku-claim its Kunyan! So is Equity Bank!
 
Ukijitia utahira me nakuacha tu.. ila ukweli ni kwamba akina baresa wote ni watanzania wazawa kuanzia babu zao. Ila uchumi wa wakenya ni mali ya mzungu na mchina.. wakenya wote ni maskini, kuanzia wewe en your fellow country men in this thread. Tena you guys ni maskini wa kutupa. Facts..
Hao wote ni warabu. The reason they are in Taznania currently is because mmelala, siku watanzania kamili wataamka na kuanza kufanya biashara wanafanya utaona wakikiambia wote na kurudi makwao.
 

View: https://www.instagram.com/p/DFNqQ8roLl-/?img_index=13&igsh=Y2dna2E0M29mbjVj
wizara_ya_ujenzi_1737736407268.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736407069.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736407459.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736406704.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736406893.jpg
wizara_ya_ujenzi_1737736406475.jpg
 
We kichaa? Unatuuliza sisi badala sisi tukuulize wewe iweje kule kakuma refugees camp kuna more than 30% ya wakenya wako registered na wanakula misaada. Usije kushangaa hata wewe ni mnufaika au hata ndugu yako mana 30% ya wakenya 65m sio mchecho.
Kakuma camp is being run by the United Nations. Kenya ni wenyeji tu. Hiyo swali peleka UN. They have their African office here in Nairobi. You can come anytime you want
 
Back
Top Bottom