Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Dah.. ๐๐ vitu vingine unaweza ukawaza mpaka ukapata kizungu zungu na bado usipate majibu. ๐๐๐ inawezekana vipi yani raia wa kenya anakua mkimbizi ndani ya kambi ya wakimbizi within their motherland.?Sasa nchi ina millions of nationals refugees in own country! Is that a country?