Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Slums right n left 🤣🤣🤣🤣

Screenshot_20250123-104935~2.png
 
Slums right n left 🤣🤣🤣🤣

View attachment 3210867
Tukiwaambia no slums in Tanzania wanaleta unplanned settlement, kitu wasichojua au huenda wanajua ila wanajifanya wehu ni kwamba, ni rahisi kumaliza unplanned settlement kama ambavyo tumekwishaanza but ni ngumu kumaliza slums cz slums ni umaskini uliopitiliza.
 
Kwamba Wakenya zaidi ya nusu wanaishi Kibera and the likes? Hii list ni biased,itakuwa katengeneza Mtanzania maanake Tanzania haipo na Dar nzima tunaambiwa ni slum!
Huwa tunawaambia over 71% ya wanaoishi Nairobi ni slum dwellers na map huwa inawekwa hapa, there are more than 200 slums in Nairobi alone wanabisha, na hiyo article nafikiri ni mda mrefu kdg, mana kwa sasa inawezekana kuna zaidi ya slumish areas 300 pale Nairobi, siku hizi naambiwa slum dwellers wameamua kwenda Karen kabisa yn hawataki ujinga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom