Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakundustan wapumbavu kweli kwamba wanataka serikali ya marekani ifanye investigation kuhusu home affairs za wakundustan? 😂🤣😅 Kwa maslahi gani marekani ilionayo kwenye hiyo Shithole? Na ndio wasomi hao 😂
Colonial mentality is widely spread in Kunyaland 😁
 
All
Cytonn Investment company owned by the Kirubi Family(Kenyans), is one of the biggest real estate companies in Kenya, they own the 2 Rivers Mall, biggest Mall in East Africa. Builders of Nairobi. Ikifika ni sekta ya Biashara Wakenya ni Moto wa kuotea mbali.
View attachment 3212117View attachment 3212118
All those things owned by one family?
Akii pesa wewe.
Kuna wakenya wanaishi aiseee wengine mnasindikiza.
 
Mkuu multiplier effects za completion ya JNHPP, SGR tourism boom, revamped agricultural output, economic resiliency na booming trade it is just a matter of time we start registering a double digit growth.
SGR Bado sana Haina Cha kubeba Kwa Sasa labda Hadi itoboe Kwa jirani au kufika Kigoma na Mwanza.
 
SGR Bado sana Haina Cha kubeba Kwa Sasa labda Hadi itoboe Kwa jirani au kufika Kigoma na Mwanza.
Naongelea construction yake ina boost construction industry output ambayo ni one of the items in determining economic growth. A lot of money is going into SGR at the moment. With plans for DAR Tanga Mushi Arusha and Musoma on foot for 2028 completion.
 
Kwahio zile G7 Marcopolo ilikuwa uchawa au? Chinese buses experience ya BRT 1 haijawapa somo?
Ila mzee si ni wewe ulisema Scania hizo zitawapa taabu ukizingatia maintenance ghali. Ila huyo mchina Golden Dragon may be ni kasumba nilifanikiwa kufika Deport ya mwendokasi kikazi asee, niseme tu niliacha walaumu yaani mchina amefanywa miaka 7 bado anatembea si mchezo ukiona kina abood na shabby kila mwaka wanaingiza mpya na hujui zinapotelea wapi baada ya miaka miwili.

Kufanya kitu kitembee miaka 7 tena cha mchina huku siasa nyingi plus abiria wanavyojaa ni salute kwao ukizingatia Even Landcruisers za Serikali STK more durable kuliko mwendokasi zishapotea kabisa.
 
Ndiyo nn ss, hii inaondoa ukweli kwamba Azam imetawala Tanzania na Kenya na East and Central Africa kwa ujumla?
Zuku yenyewe sasa. 😂😂😂
Na hii ni ripoti ya mwaka jana.
Nb; Ripoti haijahusisha visimbuzi vya FTA.
IMG_1570.jpeg
 
Ila mzee si ni wewe ulisema Scania hizo zitawapa taabu ukizingatia maintenance ghali. Ila huyo mchina Golden Dragon may be ni kasumba nilifanikiwa kufika Deport ya mwendokasi kikazi asee, niseme tu niliacha walaumu yaani mchina amefanywa miaka 7 bado anatembea si mchezo ukiona kina abood na shabby kila mwaka wanaingiza mpya na hujui zinapotelea wapi baada ya miaka miwili.

Kufanya kitu kitembee miaka 7 tena cha mchina huku siasa nyingi plus abiria wanavyojaa ni salute kwao ukizingatia Even Landcruisers za Serikali STK more durable kuliko mwendokasi zishapotea kabisa.
Hapana. Nilisema FULL AC ndio tatizo. Yaani ziwe option ya kufungua madirisha. Walizoonesha ni zile vioo havifunguki yaani muda wote inatakiwa AC ifanye kazi. Na nikasema kama ukarabati wa kawaida ni tatizo wataweza vipi siku AC zikizingua?

Chinese buses kwetu ni short term hivyo inahitaji kubadili fleet mara kwa mara kitu ambacho tume prove hatuwezi. Hizo buses zinajikongoja zimechoka balaa hasa hasa interior. Akina Abood wanabadili fleet, wanawauzia watu wengine ambao wanazipeleka huko ndani ndani. Kwa biashara ya akina Abood ukiwa na buses zimechoka hupati abiria.
 
Kufanya kitu kitembee miaka 7 tena cha mchina huku siasa nyingi plus abiria wanavyojaa ni salute kwao ukizingatia Even Landcruisers za Serikali STK more durable kuliko mwendokasi zishapotea kabisa.
Hizo LC zimepotea au wameuziana 3-5m? Gari inakufa fuel pump inaachwa ifubae ili mtu aje ajiuzie 4m. Tuongee mambo mengine.
 
Back
Top Bottom