RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,861
- 137,151
Still Chinese buses zinakuja ambazo ndani ya muda mfupi zinaoza kama za BRT 1. Aliewahi kupanda BRT recently atanielewa.Mradi ni mkubwa ule, yote yatakuja.
Kumbuka phase ya kwanza ina uhitaji wa mabasi pia.