IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Kenyans criticize Tanzanians praise. Ingekuwa huko mungeimba mama atawale milele
Learn how to compose sentences my guy. Why are you all over the place?I see kwa kuflash Ubongo mko poa,
Wazee wa kujisifia baada ya kupata kastadium kwa kudra za CAF. Can't you get belittling?
Au ndo kukomaza fuvu?
Chakushangaza, world bank haisemi hivyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndiyo nn ss, hii inaondoa ukweli kwamba Azam imetawala Tanzania na Kenya na East and Central Africa kwa ujumla?Apparently Zuku haijulikani Tanzania 😂😂😂
Reli gn hiyo unaongelea, hii hii iliyoanza 2017 ya kutoka Dar to mwanza au? Ikiwa mama mpaka leo analialia kuzindua Dar mwanza na aliachiwa Dar to Moro ikiwa karibu kuisha, wacheni siasa maji taka tuheshimu walichofanya waliotangulia. Kwa mfano, mama mpaka leo hana mradi wowote mkubwa wa kulikomboa taifa alioanzisha yeye, hapo unasemaje? Kama upo utaje, ila tuishi humo kwamba anaendeleza vya mtangulizi wake ambapo ilikuwa lazima aendeleze hata ungekuwa wewe, kisiasa lazima uendeleze, lasivyo wananchi wasingekuelewa, cz Tanzania ya sasa sio ya Nyerere.5 ,ndio ilikuwepo kwenye mkataba? Ilitakiwa izinduliwe 2019.
Wacha ujinga, hakuna nchi ya Africa inaweza kukamilisha zaidi ya km1000 za reli kwa miaka miwili, wacha siasa.Hakubaliki Wala Bali anakubalika bibi yako.
Mwisho kama kazi ni nyepesi Kwa nini mlishindwa kuzindua Sgr 2019? Kwani hamkukopa?
Ndio hivyo kateuliwa na imewakata.Unune ,ucheke pini 📍📍📍📍
Tafuta faraja nyingine sawa suku gang 😆😆
Si mlikuwanadanganywa na kujichekesha humu jukwaani na yule Jamaa yenu aliyewaokota 😁😁
Wapi treni mlizindua 2019? Unahamisha magoli 😆😆😆👇👇
View: https://x.com/Jambotv_/status/1882499948018843840?t=_Hj4eExKJhwiLKZ5JdoN4Q&s=19
Hatujawahi kutoka nje ya render, 100% kama render mwanangu 😘😘🥰🥰😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥
Wacha majungu mbona TFF Presidents waliopita hawakufanya anachofanya?Hili senge linapata sifa zote lkn halijui chochote kuhusu soka.
And how easy you think it is to understand your piece of writing with limited punctuation marks?Learn how to compose sentences my guy. Why are you all over the place?
Even grammar is becoming a problem? How do you interact with folks who don’t understand your mother tongue cause bruh i can barely figure out what you’re trying to communicate!
Karia anatembea na upepo!Wacha majungu mbona TFF Presidents waliopita hawakufanya anachofanya?
Wivu tu unakusumbua wewe nyang’au😁😁Treni ya umeme ushuzi wa bata 😂😂😂
Nenda google uangalie maana ya the word PROPRIETOR Alafu rudi.
View attachment 3211841
View: https://x.com/EricNjiiru/status/1882486089627394396
Matumizi Bora ya ardhiI thought mko na land kubwa sana tz
How comes mnauziwa maplot 30 by 60!!!!
Hiii ni upuzi kwa nchi kubwa Ivo.
Ilifaa kuwa 100 by 200.
Kama kawaida wazee wa kupika data yaani asilimia 98 wanaishi kwenye slums lakini waneshusha Hadi 51
😂😂. Mwaga povu kabisa. Sportpesa is a Kenyan Company founded by Milestone games limited which is owned by a Kenyan called Ronald Kirauri.Sportpesa kwmpuni ya Kikenya? Hebu chokora mavi huko nyuma
Na Bado usisahau Equity Bank, the biggest private Bank in East Africa is owned by a Kenyan. Operating in several countries with branches as far as DRC Kinshasa. Name one single company owned by a native Tanzanian bigger than Equity. Tanzania Waarabu ndio wamewabebea akili.U need to have 51% before u claim anythig! BTW that sponsorship was a season before both Young Africans and Simba r no more wearing jersey with Sportpesa logo!
Brookside, the biggest Dairy company in Africa is owned by a Kenyan😂. Hakuna Kampuni hata moja Kubwa Africa inamilikiwa na Mtanzania mweusi, alafu Mnajidanganya ati Wenye Biashara Kenya ni Wazungu sijui Somali 🤣.U need to have 51% before u claim anythig! BTW that sponsorship was a season before both Young Africans and Simba r no more wearing jersey with Sportpesa logo!