Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaongea nikama ilipewa visa ya kuingia Tanzania. Munakuanga wajinga sana. 🤣 🤣 🤣 Na kwani Tanzania haipo East Africa ama? Mwanaume mzima unalilia vitu vya kipuzi kama mtoto.
kwann musitaje direct tanzania mpaka museme east africa au munaogopa watalii watavutiwa sana na tanzania??

wajinga ni nyie mpaka leo hamujabadilika bado munadhani dunia nile ile ile ya 90s ya uongo uongo na ujuaji😂😂😂😂
 
As long as Ksh is steady against the dollar I don’t care. We will just come back to 20Ths to 1Ksh sooner.
inauma kumbe 😂😂😂😂 ngoma imefika 130 tena

IMG_2130.jpeg
 
Hata Ulaya wanatumia hizo Hybrid so kote huko wanaiba?

Kama wanaiba na wasipoleta ufanisi kuwapa private sector kuna shida gani?
ulaya gani we nae, nchi za wenzetu tunaona treni za umeme zinafanya kazi 24/7 bila shida yoyote miaka yote, wao wanaweza sisi tunashida gani, shida ni kua hakuna uwajibikaji wala wanaotakiwa kuwajibisha, mtu anaamka asbh anajiamulia tu full stop husikii hata akiulizwa
 
Kwenda zako huko,hii Teknolojia ya Hybrid ni ya Africa? Mbishie Kadogosa.

Mwisho huwezi jilinganisha na Ulaya by any means
 
Safi hizo ni pesa nyingi, I hope wapunguze mikopo me naona hapo unaweza fanya makubwa, ukichomoa humo billion 300, si TARURA wanaweza fanya mambo mengi bila kusubiri SAMIA INFRASTRUCTURE BOND ya Bil 150.

Tujipende tafadhali na fedha zetu plus kutumia pesa zetu kunatupa uhuru wa kuchagua wakandarasi wa ndani na pesa ikazungukia humu humu.
Kumbuka 70%ni ya kuhudumia viongozi,kinachobaki ndo kinahudumia maendeleo!
 
sio kdogosa pekee yani hata akimueka nani shida kubwa ni kua hakuna uwajibikaji wala mtu wakuwajibisha hayupo hio ndio shida kaka, kadogosa huyu huyu kipindi cha magu alikua anakwenda mbio kama swala 😂
Hawa watu wanachekesha sana. Kwani Kadogosa ndio anaekata umeme? Au Kadogosa ana nguvu ya kuwakamata na kuwafunga wanaoiba nyanya za umeme? SGR ukiondoa kukwama njiani kwasababu ya hujuma,mambo yao mengine yanaenda vizuri kabisa na ndio maana pamoja na kukwama mara kadhaa abiria hawajapungua kwa sababu ya standard kwemye uendeshaji.
Wengine wanasema Matindi aondolewe ATC sasa amestaafu tuone kama ndege za biashara zitaacha kuchukuliwa wiki mbili huku abiria wamekwama nje ya nchi bila ndege. Mind you ATC inawalipia hotel. Unachukuaje ndege ya abiria kubwa ukazurure au uwape wasanii wakazurure nayo? Halafu unamlaumu mkuruge zi shirika likiyumba. At the same time ATCL I alipia hizo ndege kila mwezi lwa serikali. Siasa inaua mashirika,siasa ina compromise standard za uendeshaji mwisho wake mnafungiwa.
 
Hao ni akina Geza Ulole Wazaramo wenye chuki na wasukuma 😀 😀 Hawataki kuona mtu kutoka usukumani akiwa anaongoza shirika.

Wanamidomo hao!!!
 
Back
Top Bottom