Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar is a slum CBD nyuma ya zile ghrofa zao tatu. 🤣 🤣 🤣
Image

Image
 
You wish....mimi leo nimepanda SGR and I don't see any problem....come and try these trains utajoin wakenya wenzako kuwa mlichezwa
Hao Wapumbavu tu. Wanaakaa na maumivu miezi mitatu,treni ikizimika mara moja wanashangilia utafikiri wameshinda lotto.
Weekend ndefu nilikuwa Moro, ngomq iko vile vile unatamani usifike. Nishapanda hii train zaidi ya mara tano sijawahi kupata hio emergency.
Tangu National Grid izingue kuna issue hadi leo? Mradi ambao WB waliukataa wakihisi ni white elephant leo wanajileta wenyewe kutoa hela. You know why? Success yake kwemye revenue hawakuamini kama ingetokea.
Hawa wapumbavu wa kaskazini walifikiri ni nguvu ya soda kisa treni ni mpya kumbe bado demand inazidi kuongezeka. Na wasubiri ifike Mwanza ndio watajua hawajui.
Walete ya umeme,diesel au makaa ya mawe as long as iko faster and comfy poa tu. Google Ghan train ya Australia uione.
 
Back
Top Bottom