Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao Wapumbavu tu. Wanaakaa na maumivu miezi mitatu,treni ikizimika mara moja wanashangilia utafikiri wameshinda lotto.
Weekend ndefu nilikuwa Moro, ngomq iko vile vile unatamani usifike. Nishapanda hii train zaidi ya mara tano sijawahi kupata hio emergency.
Tangu National Grid izingue kuna issue hadi leo? Mradi ambao WB waliukataa wakihisi ni white elephant leo wanajileta wenyewe kutoa hela. You know why? Success yake kwemye revenue hawakuamini kama ingetokea.
Hawa wapumbavu wa kaskazini walifikiri ni nguvu ya soda kisa treni ni mpya kumbe bado demand inazidi kuongezeka. Na wasubiri ifike Mwanza ndio watajua hawajui.
Walete ya umeme,diesel au makaa ya mawe as long as iko faster and comfy poa tu. Google Ghan train ya Australia uione.
Great.

Hope wakeep up services unayokuta daily, waondoe siasa.
 
Kaka ni Bongo tunaishi cursed AFRICA.

Usitegemee level ya performance iwe sawa na huko majuu.

Vichwa vilivyopo mbona vinatosha wakikomaa. Alafu walipaswa wasilisha habari kuwa kuna mizigo section ya bandari inatakiwa kuvutwa sawa, sio eti kupambana na kukwama kwama. Na unavyowajua maneno yao yalianzia vivuko vya KIGAMBONI vikapotea mazima AZAM yupo now.

Sasa ikiwa Vichwa vya Umeme wameshindwa manage tena Mchongoko safi kabisa. Unategemea nini kwao? Watakua kama UK?

Wapo wanawaza kuuza umeme nje na wanapata hitilafu ya umeme kule.

Why wasifanye SGR iwe na grid yake direct kutoka Source?

Mpaka LEO bado hatujajifunza kutengeneza umeme bila kuzimia watu?
SGR ina grid yake yenyewe tapped from multiple sources. Juzi national grid ili collapse ndio ikaleta shida.
 
Mwamba huyu hapa. Ameanza kazi kwa kishindo. Anaeleza taarifa za kununu treni za disel ni za uongo. Tanzania tulishatoka huko.
Msemaji wa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

View: https://x.com/MsigwaGerson/status/1867641220765467003?t=2z9rHjZL5ASDYH3zqtLGNw&s=19

Issue tumefikaje huku na Kadogosa bado anaachwa na madudu yoote? Hivi huyu mtu ana uelewa wa kuendesha kampuni yetu? Ujenzi wa Port link umeishia wapi?

Na Air Tanzania inakuwaje pamoja na uwekezaji mkubwa inaachwa kuingia kwenye EU list ya banned airlines? Management haikujua nn kinahitajika?
 
TRC, ATCL wajifunze kutoa taarifa ya vitu kama TAARIFA KWA UMMA ambayo imefafanuliwa kutoa mkanganyiko.

Iwe kama rejea kukiwa na taharuki.

SGR yetu ni ya kipekee na bado inaendelea kujengwa performance ilifanya wengi wavutiwe kuifinance, so hujuma haziwezi kosekana.

Kuna watu wanasubiri ipate majanga ndio wachonge mdomo.

So TRC wawe wa kwanza kutoa taarifa ya kitu chochote chao, vinginevyo imani kwao inaweza pungua.

Hata Train ikiwama nauli iwe refunded or kuahidiwa return tiketi ni uungwana kujenga imani kwa shirika na kutambua makosa yao wenyewe.

Hata wajinga wachonge haitoi watu kwenye mstari.

LIKE TAARIFA YA UMMA, KUOMBA MSAMAHA KWA WASAFIRI KUWARUDISHIA NAULI OR KUWAPA NAFASI YA kupata TIKETI ya Kurudi Bure.

Pia kuomba watanzania warudi.

Wawe wanaongea na TANESCO kila SIKU KUCHEKI NJIA ZA UMEME.

SGR yetu ni mradi mkubwa sana this AFRICA unaangaliwa na wengi maana kuna nchi hazina kabisa zinajiita uchumi mkubwa.

Let not give them excuse ya miradi yao ya hovyo.
 
Issue tumefikaje huku na Kadogosa bado anaanmchwa?

Na Air Tanzania inakuwaje pamoja na uwekezaji mkubwa inaachwa kuingia kwenye EU list ya banned airlines? Management haikujua nn kinahitajika?
"HILI NALO MKALITAZAME"

Anasubiri kuonywa kwa "KALAMU".

LET BE HONEST MATATIZO MENGINE UNAHITAJI MKONO WA CHUMA. Maana kuendelea kubembeleza hasa Waafrika unaambulia mabua.

Ni PR blunder kubwa hapo.
 
TRC, ATCL wajifunze kutoa taarifa ya vitu kama TAARIFA KWA UMMA ambayo imefafanuliwa kutoa mkanganyiko.

Iwe kama rejea kukiwa na taharuki.

SGR yetu ni ya kipekee na bado inaendelea kujengwa performance ilifanya wengi wavutiwe kuifinance, so hujuma haziwezi kosekana.

Kuna watu wanasubiri ipate majanga ndio wachonge mdomo.

So TRC wawe wa kwanza kutoa taarifa ya kitu chochote chao, vinginevyo imani kwao inaweza pungua.

Hata Train ikiwama nauli iwe refunded or kuahidiwa return tiketi ni uungwana kujenga imani kwa shirika na kutambua makosa yao wenyewe.

Hata wajinga wachonge haitoi watu kwenye mstari.

LIKE TAARIFA YA UMMA, KUOMBA MSAMAHA KWA WASAFIRI KUWARUDISHIA NAULI OR KUWAPA NAFASI YA kupata TIKETI ya Kurudi Bure.

Pia kuomba watanzania warudi.

Wawe wanaongea na TANESCO kila SIKU KUCHEKI NJIA ZA UMEME.

SGR yetu ni mradi mkubwa sana this AFRICA unaangaliwa na wengi maana kuna nchi hazina kabisa zinajiita uchumi mkubwa.

Let not give them excuse ya miradi yao ya hovyo.
Management mbovu Kadogosa alituahidi treni hazitakwama maana zitakuwa zina-store umeme! Kiko wapi? Sioni shirika likienda mbele likiwa chini yake!
 
"HILI NALO MKALITAZAME"

Anasubiri kuonywa kwa "KALAMU".

LET BE HONEST MATATIZO MENGINE UNAHITAJI MKONO WA CHUMA. Maana kuendelea kubembeleza hasa Waafrika unaambulia mabua.

Ni PR blunder kubwa hapo.
Sio PR ila management ni mbovu! Huwezi niambia walikuwa hawajui specifications ya locomotives wananunua maana walitueleza wenyewe!
 
Slightly over 1bn USD per Month that is impressive.
Ndio, watulie sasa waone namna ya kuzitumia tunaweza fanya mengi sana.

Maana inakera unakusanya hizo alafu unasikia tumekopa 200m USD like seriously na Kodi ipo 1bn mwezi.
 
Sio PR ila management ni mbovu! Huwezi niambia walikuwa hawajui specifications ya locomotives wananunua maana walitueleza wenyewe!
Nilimaanisha wameharibu PR ya SGR yetu tuliyokua tunatamba nayo kwa ujinga.

Anyway mzee vichwa havina shida, shida ni wao hawadeal na tatizo (Hitilafu ya umeme, hujuma) ilitakiwa waje na mpango wa kudhibiti hivyo hata watangazie umma na wawe serious. Sidhani kama tatizo litaendelea.

Ifike muda wabadili management kule ufala umezidi.
 
Management mbovu Kadogosa alituahidi treni hazitakwama maana zitakuwa zina-store umeme! Kiko wapi? Sioni shirika likienda mbele likiwa chini yake!
Ndio maana nasema siasa zimekua nyingi maana inatia hasira, mbona hata financier wanaweza anza doubt kuhusu sustainability ya mradi.

Wanatakiwa kufanya kitu pale. Either kuchange management or waje na PR Kali ili wapiga ramli wasiwe na nguvu kama nilivyopendekeza.

IKIKWAMA REFUND NAULI, OR WAPE RETURN TIKETI.
 
Nilimaanisha wameharibu PR ya SGR yetu tuliyokua tunatamba nayo kwa ujinga.

Anyway mzee vichwa havina shida, shida ni wao hawadeal na tatizo (Hitilafu ya umeme, hujuma) ilitakiwa waje na mpango wa kudhibiti hivyo hata watangazie umma na wawe serious. Sidhani kama tatizo litaendelea.

Ifike muda wabadili management kule ufala umezidi.
Kadogosa na genge lake walisema ikitokea umeme unakatika, vichwa vitabaki kuwa na uwezo wa kuendelea kutembea kwa masaa yasiyopungua mawili maana vina uwezo wa ku-store power! Kadogosa anatakiwa kujiuzulu na kushtakiwa kwa hili!
 
Back
Top Bottom