buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
So siku hizi bongo Barabara za Zege imekua kawaida sana?
Ulikua wapi wenzako wakituambia hapa hakuna products za Kenya kwa duka za bongo. 🤣 🤣 🤣 Nakumbuka wakisema hakuna hata maziwa ya brookside bongoslum.Kwahio Ke supermarkets kumejaa local products tu? Buashara huria hizo products za Ke ulizoona pia zipo za Tz na other countries. Mfano hizo juice Azam,MO,Sayona to name a few local. Pia kuna Ceres,Del Monte,Tropicana pesa yako tu.
1. Cussons products
2. Amara lotion and body wash/hand wash
3. Brookside products
4. Daima milk
5. Dairyland products
6. Gofrut juice
7. Orchid Valley Juice
8 . Fruitville Juice
9. Frosti Juice
10. Velvex products
11. Zesta products
12. Bidco Products, Kimbo, Cowboy
13. KCC products
14. Softcare Products
Hizo ndio nimespot, I'm sure kuna mingi sana sijaspot. Yani supermarket ya bongoslum imejaa tu foreign products. 🤣 🤣 🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=ufPJRUX5wvU&t=1236s
Kwani huna bundles kijana.Sema uli ingia supermarket ipi kijana..
Na mimi nataka nikajionee hizo bidhaa
Wacha uvivu kila kitu iko kwa video.Names, list hizo supermarket nikajionee hizo bidhaa.
Pumbavu zako, unapinga hadi video evidence.Milk products zenu huku?
Ipo supermarket gani? Sababu kuna ASAS, DAR FRESH.
Labda hawajawahi kuziona. Hio brookside hata mimi sijawahi kuiona. Supermarkets zipo nyingi zinauza products tofauti. Labda Ke ndio supermarkets zina local products only.Ulikua wapi wenzako wakituambia hapa hakuna products za Kenya kwa duka za bongo. 🤣 🤣 🤣 Nakumbuka wakisema hakuna hata maziwa ya brookside bongoslum.
Imagine DMDP mradi ume stall. WB wako tayari kutoa hela ya ujenzi. Mradi umekwama tangu mwezi wa nne.Alafu walikua wanasema eti Magufuli anatoa pesa imagine unakusanya 1bn Dollars, mradi wa 300bn utakushinda?
Kumbuka miaka 5 ya mzee gari za serikali zilikua STL mwisho. Baada ya kufa tu ghafla ziko STN. Na series moja ni gari 9000.
Now kila mradi ukiwa over 100bn shillings wanawaza kukopa tu.
Yaani mkopo wa $200m huku unakusanya $1bn? Does it make sense na kumbuka huo ni mwezi mmoja tu.
Tanzania tunaweza anzisha mradi tuseme mradi uwe $10bn full financed na domestic revenue kwa period ya 5 years mbona inawezekana ndio maana JNHPP alijua inawezekana bila hata pesa yao kabisa.
Hata tukiamua 4 way lane carriageway mpaka Dodoma inawezekana kwa pesa za ndani plus unamuweka mkandarasi unayemtaka kabisa.
Huone KIMARA KIBAHA - ESTM CONSTRUCTION
SGR - YAPPI MERKEZ LOT YA KWANZA
JNHPP - ARAB CONTRACTOR & EL SEWEDY ELECTRIC.
Hivyo hivyo unaweza tega $1bn zikaishia kwa wakandarasi wa ndani kufikisha barabara Njia nne dodoma.
Ni maamuzi magumu tu.
Hawa watu hawana ustaarabu kabisa.Hawa waarabu mambwa kutuharibia uwanja ndio nini? CAF wafanye mpango walipie gharama za uharibifu.
Wakenya Bhana 🤣 🤣 🤣 🤣 👇👇👇👇Dar is Huge huwezi ukaenda duka moja na ukawa umefanya conclusion ya Dar. Nairobi si very very very smallPumbavu zako, unapinga hadi video evidence.
Wacha uvivu kila kitu iko kwa video.
Ha ha ha katumia supermarket moja ku judge nchi nzima.Names, list hizo supermarket nikajionee hizo bidhaa.
Wajinga hao. Nimeanza kumfuatilia tangu anaingia nchini kutoka Uganda. 🤣 🤣 🤣 🤣 Jamaa kainigia juzi tu hapa nchini na anaanza kutoa analysis kuhusu Dar.Ha ha ha katumia supermarket moja ku judge nchi nzima.
1. Cussons products
2. Amara lotion and body wash/hand wash
3. Brookside products
4. Daima milk
5. Dairyland products
6. Gofrut juice
7. Orchid Valley Juice
8 . Fruitville Juice
9. Frosti Juice
10. Velvex products
11. Zesta products
12. Bidco Products, Kimbo, Cowboy
13. KCC products
14. Softcare Products
Hizo ndio nimespot, I'm sure kuna mingi sana sijaspot. Yani supermarket ya bongoslum imejaa tu foreign products. 🤣 🤣 🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=ufPJRUX5wvU&t=1236s
Unaelewa hata maana ya tribalism,Alas!… Kwani kuna ukabila TZ ?…please I wanna hear more..let me grab my popcorn… this might get interesting…..Wasukuma ni akina nani ?
Ndio haya mambo tunayaleta kwenye mwanga uzembe mwingi plus ukiongeza siasa na viongozi wanajua kusifia ndio kunalipa siku hizi.Imagine DMDP mradi ume stall. WB wako tayari kutoa hela ya ujenzi. Mradi umekwama tangu mwezi wa nne.
Wananikeraga sana, no wonder wakienda World Cup hawana msaada juzi tu Morroco ndio kaibuka, sababu wana soka la figisu na kujiliza liza wakienda ambapo hakuna figisu wanapoa kabisa.Hawa watu hawana ustaarabu kabisa.
Ha ha ha katumia supermarket moja ku judge nchi nzima.
Atoe bundles wapi ya kuwatch video?Unalia nini na nimekuwekea hadi video penye nimetoa hizo products.