Sawa msomi wa kibera 🤣🤣🤣Hakuna elimu yoyote uko nayo. At best you can be a Primary School dropout.
Sawa msomi wa kibera 🤣🤣🤣Hakuna elimu yoyote uko nayo. At best you can be a Primary School dropout.
🤣🤣🤣
Foreign denominated debt inapungua kwa kasi sana.
Waiters and waitresses, chambermaids, butlers and hoteliers.You really dont know? Teachers,bankers,marketing/sales exec/officers in large,medium and small companies
aisee kweli magu hayupoHuyu kadogosa ni takataka.
😂😂😂😂😂😂😂 naona wamejaribu kupunguza presha ila hii deal inaonekana ipo na imesainiwakadogosa jamani dahhh....nginja nginja ya dizelii!
nahisi hii habari ipo ila wamefanya kama kupunguza presha tu, ila nina mashaka sanaAfadhali, hakika hiyo habari ilinifanya nijiskie vibaya sana .
Tanzania leads East Africa in financial inclusion remember that.Ebu post hiyo source tuione. They's no way you can have more mobile transactions than Kenya buana. Hiyo hata unajua. Hapa Kenya some of us the last time tulishika hard money ni more than 5 years ago. This is a cashless economy. In fact our mobile transactions are more than those of East Africa and Southern Africa combined.
Mimi nadhani Kadogosa atumbuliwe. Atafutwe mtu serious😂😂😂😂😂😂😂 naona wamejaribu kupunguza presha ila hii deal inaonekana ipo na imesainiwa
kitu cha tanzania wanaitaja east africa 😂😂
mkenya hana tofaut na kondoo
View: https://x.com/ntvkenya/status/1867562688714276965?s=46
View attachment 3176055
Vyombo vyenu vya habari viko busy na habari za TanzaniaUnaongea nikama ilipewa visa ya kuingia Tanzania. Munakuanga wajinga sana. 🤣 🤣 🤣 Na kwani Tanzania haipo East Africa ama? Mwanaume mzima unalilia vitu vya kipuzi kama mtoto.