Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sababu ni safety issues. Safety issues sio kwenye ndege zenyewe. Ni watu na taratibu zao. ATCL kuna siasa kwenye operations anbayo in turn ina compromise vitu vingi. Anyway tafuta mtu anaejua aviation industry ya bongo akwambie. Sio chawa au mtu biased.
Yule member barafu kapotelea wapi? Alikua na nondo hasa za aviation.
 
Ivi hatuwezi tenganisha vitu muhimu vya NCHI NA SIASA. I mean kukiwa na tatizo wataalamu ndio washughulikie sio SIASA na hata kitu kikiwa kinafanya kazi wanasiasa wasisogelee na mapambio mwisho shughuli inaanza kupigiwa ramli ifeli tu.

Unakuta tuna watu wa maana wanaojua kwa kina ila wapo tu, tunaweka watu mradi wapate ulaji. Mtu kama barafu alipaswa kuwa TAA or TCAA or ATCL yaani Aviation. Kusaidia Nchi kuendesha mambo fresh.

Ajabu unatoa mtu kule hajui mambo unampeleka kwingine hata kama anafanya vizuri (Jerry Slaa Wizara ya Ardhi).

Bakiza wataalamu wizara nyeti sio kila siku siasa, alafu wapunguze kuweka wanasiasa kuongea ongea. Badala yake Kitengo cha Habari na Mawasiliano.

Hata hilo la SGR siasa zingekaa pembeni hakuna mtu angewatakia baya, pengine wangesaidia hata kukamata wahujumu.

Ila kwa kua MAMA MAMA MAMA MAMA, mara machawaa wamo, mara kila mtu msemaji wa SGR ndio imefanya hata hitilafu ndogo liwe DONGO
 
Kingine naona UFIKE MUDA MASHIRIKA YOTE YANAYOTOA HUDUMA KWA JAMII NA YANAGENERATE MAPATO, Watumishi wake waondolewa Hazina moshahara yao itegemee hayo mapato, huenda tukapunguza uzembe hata vitu vinaharibika hawashtuki.

Mwendokasi ikiharibika no one Care sababu wapo Hazina kuchukua mshahara.

But ingekua mapato ya kishuka wanapunguzwa kazini or kupunguza mishahara sidhani kuna mtu angekubali Basi zipotee au chenji zikosekane au abiria waanze kupungua.

Naongelea TTCL, TANESCO, ATCL, TAA, TCAA, TCRA, MWENDOKASI, TEMESA, WAKALA WA MELI, TRC, VIVUKO,

KUMPA BINADAMU GUARANTEE YA KITU HATA AKIHARIBU NI HATARI SANA.
 
Basi kweli wew ni chawa
Kwangu mimi kuitwa hivyo ni neema maana nakuwa nimetambua Nadeau na mtu Aina gani . Unamuita mtu chawa ilaa ukiambiwa ukapige hata kura walau ulete badiliko unaona hayakuhusu.
2: reasoning : kwako naona iko kidogo kwa sababu unfamiliar katika mtu na sio mfumo na ndo maana kwa Sasa umepofushwa huwez kuona jema linaloendelea ila utafuta failures. Tukileta mjadala hapa kuelezea ufisadi wa mtu wenu huwa unakimbia huchangii na ukiambiwa ulete why is failing mnakimbilia personal attacks. Hivi unadhani huyo kadogosa mnayemshambulia leo anaweza fanya lolote bila board
 
Unataka wale wapi, ishu sio kuwaondoa hazina Bali mkurugenzi isiwe nafas ya kuteua maana kinachofanyika sio kwa rais Bali wa chini yake ndo wanapendekeza majina. Rais unakuta hata wakuu wake wa mashirika anaofanya teuz hawajui kabisa .
 
Sio value of money transferred tu bali mpaka idadi ya wakala tumewatriple

View attachment 3175869
Source?
Bro, I think it’s only China which Rivals Kenya in terms of mobile money transfers, probably India too. If you factor in the population ratio, no country in the world comes close to Kenya in mobile money transfers. Hizi zako sijui umetengeneza design wapi
 
You ask for a source while you don't provide one to substantiate your empty claim. What's wrong with you?😁
 
Source?
Bro, I think it’s only China which Rivals Kenya in terms of mobile money transfers, probably India too. If you factor in the population ratio, no country in the world comes close to Kenya in mobile money transfers. Hizi zako sijui umetengeneza design wapi
Leta latest number of transactions from your central bank
 
Source?
Bro, I think it’s only China which Rivals Kenya in terms of mobile money transfers, probably India too. If you factor in the population ratio, no country in the world comes close to Kenya in mobile money transfers. Hizi zako sijui umetengeneza design wapi
Hebu tuwekee namba za Kenya vs hio China,India etc
 
Ni hii stadium Tuliambiwa itahost CHAN?

Au nyingine alafu mwishowe wapo hati hati ya kuikosa CHAN kwa kukosa facility kwa wakati 😂😂

Duh.
Ni wapi ulisoma au hata kusikia kwamba Bukhungu was earmarked to host CHAN? Mbona mpo desperate hivi mitanganyika?
 
Back
Top Bottom