Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa

1734120893667.jpeg
 
Dar is a slum CBD nyuma ya zile ghrofa zao tatu. 🤣 🤣 🤣
Image

Image
Hiyo ni old Dar and we are proud of it.
Hapo diversity ya Dar es Salaam inapoonekana.
Dar kuna Uptown kuanzia Azikiwe street kwenda hadi baharini hadi kuvukoni...uko utakuta offices nk
Kuna old Dar es Salaam nyuma tu ya Askari Monument, kisutu, nyuma ya hizo tower hadi mnazi mmoja park
Kuna Downtown tuseme ambayo ndo kariakoo yote
Kuna upanga ambayo ni residential iliyopo karibu sana


Sio lazima kila miji ifanane vinginevyo ni ushamba na ukosefu wa exposure
 
Eti utumwa?🤣🤣🤣 Wewe libaba lizee hao "watumwa" wanaishi maisha mazuri kuliko yako hapo Tandale and they have fat bank accounts. Lastly, they run numerous projects back home wakati wewe the only project you have ni kushinda hapa jf ukitusu watu. What a loser!!
Maisha mazuri ya kunyonyesha puppies na sex slavery 😮
 
Hii sasa ndio maana halisi ya kubadili gear angani.
Huoni ni usenge ujipe credibility ya mradi wa mwanzilishi full electric alafu baadae utuletee ngija ngija huku kuna vichwa LUKUKU vya UMEME.

Mzee alijua mradi unaenda bila noma ndio maana kujaza umeme tu. Wajinga wakaja na "mama mama". Huku kuna hujuma inaendelea bado wanatetea ujinga.

Wengetoa excuse gani? Imagine hudili na tatizo la Hujuma, hitilafu, mapema tu unataka kuleta vichwa vya Diesel. Kama si ufala nini.
 
This is just a normal rally, which creates an imbalance, lazima itarudi chini to find support then tujue if the trend is gradual.
This bullish rally is supported by fundamentals unlike yours sanasana around February next year itafanya consolidation na kuendelea na bullish trend.
 
Still sioni cha ajabu kuwa na diesel train. Mbona huko Ulaya kuna sehemu mpaka sasa zinatumika? I remember kuna moja UK ilikuwa faster kuliko baadhi ya train za umeme. Ni specs tu.
Tatizo mkisikia train ya diesel mnapata picha ile ya Kenya au Kigoma.
Kaka ni Bongo tunaishi cursed AFRICA.

Usitegemee level ya performance iwe sawa na huko majuu.

Vichwa vilivyopo mbona vinatosha wakikomaa. Alafu walipaswa wasilisha habari kuwa kuna mizigo section ya bandari inatakiwa kuvutwa sawa, sio eti kupambana na kukwama kwama. Na unavyowajua maneno yao yalianzia vivuko vya KIGAMBONI vikapotea mazima AZAM yupo now.

Sasa ikiwa Vichwa vya Umeme wameshindwa manage tena Mchongoko safi kabisa. Unategemea nini kwao? Watakua kama UK?

Wapo wanawaza kuuza umeme nje na wanapata hitilafu ya umeme kule.

Why wasifanye SGR iwe na grid yake direct kutoka Source?

Mpaka LEO bado hatujajifunza kutengeneza umeme bila kuzimia watu?
 
Back
Top Bottom