Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View: https://x.com/TBoundBuses/status/1868169541391642927?t=60Sb6JQSXdnXQjaWNQxgbQ&s=19
20241215_085419.jpg
20241215_085416.jpg
20241215_085424.jpg
 
Ni wapi ulisoma au hata kusikia kwamba Bukhungu was earmarked to host CHAN? Mbona mpo desperate hivi mitanganyika?

Mbwa wee, sio kila mtu anaflash ubongo akiondoka humu.

View: https://youtu.be/GmBzuV1_cAg?si=TugQrLZk4d5MJ3Tv

View: https://youtu.be/L9xmkw-0ts8?si=KCIfDGxvHBqFyZKf
 
Wanawaza wizi tu wapige pesa kwenye mafuta, waache ujinga waimarishe mifumo na management, watu pia waende training za mara kwa mara, wakishindwa kabisa waajiri experts wakae japo miaka mitano kuwapa ujuzi wazawa.
Hata Ulaya wanatumia hizo Hybrid so kote huko wanaiba?

Kama wanaiba na wasipoleta ufanisi kuwapa private sector kuna shida gani?
 
Unafikiri ukiwa na uwanja wa ku host match za tournament inatosha? Unahitaji viwanja vingine vya mazoezi kwa timu mbalimbali pia .
Still, nitajie mahali Bukhungu iliwekwa kama Moja ya viwanja vya mazoezi
 
Mbwa wee, sio kila mtu anaflash ubongo akiondoka humu.

View: https://youtu.be/GmBzuV1_cAg?si=TugQrLZk4d5MJ3Tv

View: https://youtu.be/L9xmkw-0ts8?si=KCIfDGxvHBqFyZKf

Sasa ni county governments (in this case kakamega county government) ndio waamuzi wa kudecide ni viwanja vipi vitatumika or is it the role of the government through sports ministry?
 
Mfa Maji haishi kutapatapa
Mbwa wee, sio kila mtu anaflash ubongo akiondoka humu.

View: https://youtu.be/GmBzuV1_cAg?si=TugQrLZk4d5MJ3Tv

View: https://youtu.be/L9xmkw-0ts8?si=KCIfDGxvHBqFyZKf
 
Mawazo ya magufuli, mama akiendelea kupita na mawazo ya magufuli atatoboa sn, sema aongeze ukali, nchi hii wapigaji wengi.
Ofcoz jpm ndio muasisi kunzisha viwanda vya kuchenjua dhahabu, benki kuu iongeze bidii tuu kununua dhahabu kwa wingi maana bei ya dhahabu haijawahi kushuka na sasaivi dunia inaelekea kwenye bricks ndio mda mzurii wa kununua at a discount mbeleni uko itatubeba sanaa
 
Back
Top Bottom