Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hakuna siku nishawai ona hii bridge ikiwa na magari mengi kushinda expressway ya Nairobi alfu mpo humu mnajifanya kushangaa eti expressway haina magari.

nssf-pic.jpg
Mimi nashauri uachane na hii topic maana unaonyesha upumbavu na chuki ulionao dhidi ya Tz...
Nikupe mfano wa Nyali bridge au makupa bridge ya Mombasa umuhimu wake kwa wakazi wa Mombasa ndo ilivyo kwa umuhimu wa Nyerere bridge kwa wakazi wa kigamboni.
Hio ni bridge..lazima mtu apite hapo maana ni shortcut au atumie ferry ambayo haibebi maroli au azunguke km kadhaa kwenda kigamboni.
Haya sasa tumia akili kidogo

Hiyo Expressway ni failed project...mlijenga tu kupendezesha mji lakin hakuwa na umuhimu sana...bora hata mngejenga light rail, metro, BRT au Subway kuunganisha JKIA na Nairobi...na hamwezi fanya hivyo maana mikataba yenu itawabana
 
Kuna tofauti wewe mpumbavu! Wapiganaji wa South Sudan walukuwapo Uganda pia na mwanzilishi wa SPLA, John Garang ni moja ya watu tuliosomesha tangu secondary to University hapo Dar na kumtrain pia.

Sisi hatukuhost, bali tuliongoza mapigano ya uhuru wa nchi za Africa na makao makuu ya majeshi na headquaters zote zilikuwa hapa chini na central command ya mapigano yote, African Liberation Commettee chini ya Gen Hashim Mbita.

The New York Times
Oct. 17, 1965
"DAR ES SALAAM, Tanzania -- Tanzania's role as the haven of African liberation movements appears to be drawing her into a web of intrigue and political hysteria that has aroused deep suspicions, even among her friendly neighbors to the north."
Na kwa taarifa yake sio Africa tuu Hadi Duniani huko tunatambuliwa.

Russia na Tanzania wanatarajia kuandaa filamu ya harakati za ukombozi mwakani.

Mambo haya ya ukombozi yameghariku muda , Rasilimali watu na Fedha na kutuchelewesha sana kinaendeleo lakini tumepata Heshima.
 
Mimi nashauri uachane na hii topic maana unaonyesha upumbavu na chuki ulionao dhidi ya Tz...
Nikupe mfano wa Nyali bridge au makupa bridge ya Mombasa umuhimu wake kwa wakazi wa Mombasa ndo ilivyo kwa umuhimu wa Nyerere bridge kwa wakazi wa kigamboni.
Hio ni bridge..lazima mtu apite hapo maana ni shortcut au atumie ferry ambayo haibebi maroli au azunguke km kadhaa kwenda kigamboni.
Haya sasa tumia akili kidogo

Hiyo Expressway ni failed project...mlijenga tu kupendezesha mji lakin hakuwa na umuhimu sana...bora hata mngejenga light rail, metro, BRT au Subway kuunganisha JKIA na Nairobi...na hamwezi fanya hivyo maana mikataba yenu itawabana
Soma nilichoandika polepoole alafu u some ukichoandika utaona nani mwenye chuki kati yangu na wewe.
 
Unaelewa huku kwetu sisi vijana tunamaanisha nn tukisema mnyamwezi? Mnyamwezi maana yake mjanja, au mtu kutoka mbele huko unyamwezini yn Europe au America, jaluo wewe.
Wewe Siku utakuta street Kenya na jina ya Msukuma ndio uongelee Wajaluo. Kazi yenu ni kupea streets zenu majina za Wakenya, sijui Wanyama street, Obama street.
24075714008_c2fb272e10_o.jpg
 
Bongolala, hizi vitu haziitaji hasira na emotions. Hapa tunatumia facts, feelings ubaweza pelekea watu wa ukoo wako.

Naona umedwel sana hapo Kwa umasikini. Lazima mwiba ilikukngia ipasavyo. The fact is, Tanzania has the highest poverty rate kn the region. Coming here to rant na kutoa povu haitabadilisha huo ukweli. Data ipo na WB for all to see.

Eti per capita ni deni? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ. Hivi, unajua hata per capita ni nini and how it's calculated? Hii ndio ujinga ya kutaka kuonekana uko informed when in real sense hujui unachosena.

Secondly, it's also true that our middle-class is the biggest in the region. These are facts you can't change. Affordable housing zinajengwa Kwa ajili ya wakenya who can afford to buy them, not for any specific class of people. In any case it's true zinajengewa middle-class, then you've just proven my point right coz anybody who can cough up Ksh5 million upwards to buy a house fits the description of a middle-class. If these houses are selling all over Kenya, then why are you disputing our middle-class figures?

Where did I say that 20 floor buildings ni utajiri? Unaona sasa shida ya kucomment with a lot of emotions ? I mentioned that coz kilaza mwenzako alitajacswala la real estate and quoted a 2017 figure which put Dar's real estate value ahead of Nairobi's. Ndio nikwambia those have been overtaken by events that's why I asked him to show us any serious real estate projects going on in Dar in comparison to Westlands alone in Nairobi.

Wewe kilaza you should learn to leave emotions out of these discussions and start engaging your brain and using facts. At this rate, you'll run mad!!
Maelezo marefu na Kenya yako ya UTOPIA.

Mngekua ahead msingiekua humu kujieleza sana maendeleo ndio yangejieleza, bahati mbaya habari tunapata kila kukicha mko barabarani mkililia maisha magumu.
 
Bro, hosting people in your country ni kitu cha kawaida sana. Hapa Kenya tumewai host serikali ya Somalia hadi shughuli zao za serikali zilikuwa zinafanyika Nairobi. Tulihost wapiganaji wa Sudan Kusini wakipigania Uhuru kutoka Sudan na hadi sahii familia ya John Garang na Salva Kiir wanaishi Nairobi, Raisi wa kwanza mwanamke Afrika Ellen Sirleaf tumemhost humu akaishi miaka mingi. Tuna the largest refugee population in Africa wanakaa humu ila hamtoskia kila siku tukijigamba eti hoo sisi ndio baba wa hawa ama wale maanake tunaelewa ni kitu cha kawaida sana.
Comparing the incomparable as usual.

Lipa tolls acha kuandika magazetii.
 
Back
Top Bottom