25 km from dar is a slum cbd ni mashamba za mihogo na bahari. 🤣 🤣Ungeandika 25km from CBD Bongolala style. 😂 😂
25 km from dar is a slum cbd ni mashamba za mihogo na bahari. 🤣 🤣Ungeandika 25km from CBD Bongolala style. 😂 😂
Sawa.Povu.
628 sq. km of no tarmac road.25 km from dar is a slum cbd ni mashamba za mihogo na bahari. 🤣 🤣
KwendraaaaSawa.
ARE you sure Kg haina tarmac road?628 sq. km of no tarmac road.
Bro, hosting people in your country ni kitu cha kawaida sana. Hapa Kenya tumewai host serikali ya Somalia hadi shughuli zao za serikali zilikuwa zinafanyika Nairobi. Tulihost wapiganaji wa Sudan Kusini wakipigania Uhuru kutoka Sudan na hadi sahii familia ya John Garang na Salva Kiir wanaishi Nairobi, Raisi wa kwanza mwanamke Afrika Ellen Sirleaf tumemhost humu akaishi miaka mingi. Tuna the largest refugee population in Africa wanakaa humu ila hamtoskia kila siku tukijigamba eti hoo sisi ndio baba wa hawa ama wale maanake tunaelewa ni kitu cha kawaida sana.Hakuna anaependa sifa za Kijinga, ni ukweli tu!
We don't have anything in common na wananchi wa Namibia, Angola, Mozambique, Zimbabwe lakini huu ndio ukweli.
![]()
A TRIBUTE TO THE SOLOMON MAHLANGU FREEDOM COLLEGE
What was SOMAFCO’s role in the ANC’s conceptualisation of public education? We are where we are because of our past. Nothing proves this more than South Africa’s public education system. Like other…sayasblog.com
Sehemu kidogo ya kigamboni ina lami ila the southern 628 sq.km hamna lami.ARE you sure Kg haina tarmac road?
Sasa kati yangu na wewe nani mjinga hapa?Wacha upumbavu wewe 😂😂😂 cyprus ni kataifa kadogo the size of Arusha region, and it is not developed like Tanzania, small population 1.2 million people, 9k square km land size, their capital city resembles Mombasa old town. Very poor country, with the gdp of $32 billion. Una mwambie mwenzako anashindwa simple google search while wew ndio mpumbavu mmoja kabisa. 😂😂😂
Haya kunywa maji ukalele kenge hii.
You've forgotten to remind him that we even host their beggars on our streets too na hatupigi keleleBro, hosting people in your country ni kitu cha kawaida sana. Hapa Kenya tumewai host serikali ya Somalia hadi shughuli zao za serikali zilikuwa zinafanyika Nairobi. Tulihost wapiganaji wa Sudan Kusini wakipigania Uhuru kutoka Sudan na hadi sahii familia ya John Garang na Salva Kiir wanaishi Nairobi, Raisi wa kwanza mwanamke Afrika Ellen Sirleaf tumemhost humu akaishi miaka mingi. Tuna the largest refugee population in Africa wanakaa humu ila hamtoskia kila siku tukijigamba eti hoo sisi ndio baba wa hawa ama wale maanake tunaelewa ni kitu cha kawaida sana.
Underpass Under Construction View attachment 3172592View attachment 3172593View attachment 3172595
View attachment 3172591
I didn't know that Kigamboni is almost same size as NairobiSehemu kidogo ya kigamboni ina lami ila the southern 628 sq.km hamna lami.
Hii sehemu niliyohighlight yote hamna barabara ya lami hata moja. Kama ipo nioneshe.
View attachment 3172648
Kuna ID inapumzika.Umerudi toka mafichoni
Huyo hakunanga kitu anajua ila yee hutaka kucontribute mijadala yote.Sasa kati yangu na wewe nani mjinga hapa?
Unasema kwamba Cyprus ni nchi masikini with a population of just 1.2 million people yet Iko na GDP ya $32. Do you realize that this is a half of your country's GDP with a population of 60 million people (5 times that of Cyprus) and almost 20 times in size?!!
You call a country of 1.2 million people with a GDP of $32b poor? Are you insane? Do you know what that translates to in terms of GDP per capita which is what used in calculating poverty rates? Watanganyika kujifanya wajuaji wakati hakuna wanachoelewa
Half of the 1400 sq. km of Dar ni ushago. Ndio maana huwa nawaambia the built up area of Dar Metropolis is smaller than the built up area of Nairobi metropolis.I didn't know that Kigamboni is almost same size as Nairobi
Sasa wewe ni mpumbavu exra 😂😂😂Sasa kati yangu na wewe nani mjinga hapa?
Unasema kwamba Cyprus ni nchi masikini with a population of just 1.2 million people yet Iko na GDP ya $32. Do you realize that this is a half of your country's GDP with a population of 60 million people (5 times that of Cyprus) and almost 20 times in size?!!
You call a country of 1.2 million people with a GDP of $32b poor? Are you insane? Do you know what that translates to in terms of GDP per capita which is what used in calculating poverty rates? Watanganyika kujifanya wajuaji wakati hakuna wanachoelewa
Hawa jamaa hupenda attention tu na kujifanya wajuaji kumbe wanknga wa mwisho!!Huyo hakunanga kitu anajua ila yee hutaka kucontribute mijadala yote.
Kuna tofauti wewe mpumbavu! Wapiganaji wa South Sudan walukuwapo Uganda pia na mwanzilishi wa SPLA, John Garang ni moja ya watu tuliosomesha tangu secondary to University hapo Dar na kumtrain pia.Bro, hosting people in your country ni kitu cha kawaida sana. Hapa Kenya tumewai host serikali ya Somalia hadi shughuli zao za serikali zilikuwa zinafanyika Nairobi. Tulihost wapiganaji wa Sudan Kusini wakipigania Uhuru kutoka Sudan na hadi sahii familia ya John Garang na Salva Kiir wanaishi Nairobi, Raisi wa kwanza mwanamke Afrika Ellen Sirleaf tumemhost humu akaishi miaka mingi. Tuna the largest refugee population in Africa wanakaa humu ila hamtoskia kila siku tukijigamba eti hoo sisi ndio baba wa hawa ama wale maanake tunaelewa ni kitu cha kawaida sana.
Usisumbuke na hawa watoto wa juzi. Ni wa kuwahurumia tu😁Kuna tofauti wewe mpumbavu! Wapiganaji wa South Sudan walukuwapo Uganda pia na mwanzilishi wa SPLA, John Garang ni moja ya watu tuliosomesha tangu secondary to University hapo Dar na kumtrain pia.
Sisi hatukuhost, bali tuliongoza mapigano ya uhuru wa nchi za Africa na makao makuu ya majeshi na headquaters zote zilikuwa hapa chini ya central command ya mapigano yote, African Liberation Commettee chini ya Gen Hashim Mbita.
The New York Times
Oct. 17, 1965
"DAR ES SALAAM, Tanzania -- Tanzania's role as the haven of African liberation movements appears to be drawing her into a web of intrigue and political hysteria that has aroused deep suspicions, even among her friendly neighbors to the north."
Jitu Zima pumbavu unajua nini kunishinda wewe mbulula.? 😂😂😂 Kwanini usini quote.? Zuzu wewe.Huyo hakunanga kitu anajua ila yee hutaka kucontribute mijadala yote.