ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
hakuna uwajibikaji wala wawajibishaji
haya tuendee kusifiana tu
View: https://x.com/phan_wa_ii/status/1865714129895301474?s=46
View: https://x.com/hanthlley/status/1865834128479793569?s=46
Liskilizeni hili choko, kenya nitaifa la mafala sana kubabake zao mbwa hawa 👇🏾
View: https://youtu.be/CoE4yKerwQ8?si=RUG_mlQXT9Q6-AKJ. Hii ni type ya machoko kama hili jitu zima pumbavu NairobiWalker 🖕🏿
I’m telling you bro.. hawa jamaa kwa mentality walizonazo na chuki hawatawahi fanikiwa kwenye chochote hawa.Ukiwa na chuki huwezi ona vitu sensibles, hawa jamaa zetu hakuna kitu watatoboa kwa mentality kama hizi.
Huyo jamaa nowadays kawa kama wakunya, kupost vitu bila kuverify.Hapana Icho usiingie mkenge wa hawa wapotoshaji. Hii ajali ilitokea kitambo sana. Kama sio mwaka jana ni mwaka juzi huko...ilitokea maeneo ya mbezi kwa Yúsuf kama sikosei... kipindi kile BRT buses zinaenda kibaha.
Hakuna ajali kama hiyo iliyotokea recently huyo mtoa post ni mpotoshaji
Ndo hivi vibarabara enzi zile mlikuwa mnajiongopea kwamba mmeendelea kuliko Tanzania na ndiyo maana unakarudia rudia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani unavyokuwa unasema hivi huwa unamaanisha nn, kwamba Tanzania haijulikani SA au watanzania hawajulikani SA? Mbona una chuki za kitoto sn, huwa unaona kabisa rais wa Tanzania akienda kule jinsi anavyopewa umuhimu wa kipekee na bado hutaki kukubali, mpaka rais wa SA huwa anawakumbusha raia wake umuhimu wa Tz lkn bado hutaki, watz kule wanaingia bila visa kitambo sanaa na bado hutaki, wasauzi wanaisoma Tz kwenye vitabu vyao na wanaambiwa umuhimu wa Tz juu ya Uhuru wao na bado hutaki, basi wewe ni mwehu.Mnapenda sifa za ujinga wakati ukienda Africa kusini hata hawawatambui.
Iko County gani vile?Ungeandika 25km from CBD Bongolala style. 😂 😂
Duh kumbe kigamboni ni sawa na Nairobi kwa ukubwa? Kweli tunaikosea heshima Dar.I didn't know that Kigamboni is almost same size as Nairobi
Huna akili, wakenya wengi hamna akili na ndiyo maana vichaa wenzio wame like.Wewe Siku utakuta street Kenya na jina ya Msukuma ndio uongelee Wajaluo. Kazi yenu ni kupea streets zenu majina za Wakenya, sijui Wanyama street, Obama street.
View attachment 3172734
Kenya hatudevelop jiji Moja kama hapo kwenu.Iko County gani vile?
Nimekuuliza swali hujanijibu. Upo heat period?Kenya hatudevelop jiji Moja kama hapo kwenu.
Bongoslum hadi wa leo hakuna interchange kama hio, ukipata nafunga hii account.Ndo hivi vibarabara enzi zile mlikuwa mnajiongopea kwamba mmeendelea kuliko Tanzania na ndiyo maana unakarudia rudia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
My question was simple Ruiru iko county gani? Sasa wewe badala ya kunifahamisha unahamaki shida nini?Kenya hatudevelop jiji Moja kama hapo kwenu.
Nami nimekujibu hatudevelop eneo Moja kama nyinyi. Unatakaje Sasa?My question was simple Ruiru iko county gani? Sasa wewe badala ya kunifahamisha unahamaki shida nini?