Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha blah blah. Some motorways in Europe are clogged. Now that 20plus km A road ndio kamalize foleni. Nairobi motorists shun that expensive for nothing toll road.
Soma nilichoandika uelewe. Wacha niquote urudie. Usibwabwaje kama mwehu.
It is an expressway..................No junctions hence no jam. Kama unaelewa transportation engineering utaelewa. Expressway inaweza pitisha magari mengi ila hayatasongamana. Shida yenu ni akili ndogo. Hapo kwenu barabara kama zote ni empty.
 
Soma nilichoandika uelewe. Wacha niquote urudie. Usibwabwaje kama mwehu.
That's is just a low end toll dual carriageway. Wewe huna cha kuniambia mimi kuhusu expressway or motorways. Nazijua ninezitumia since I was a teenager. Hicho kichochoro hakina magari kwasababu wenye magari wengi wanakikwepa. Na picha zinaonesha magari yapo mengi on alternative route.
 
East kwa mabeast.

Image
 
Using something doesn't mean you understand it. What do you know about transportation engineering? Sasa ukiita expressway dual carriageway wakati expressway lazima iwe dual carriageway utasema unaelewa nini kuhusu expressway? Do you even know what makes a road an expressway? Ungekuwa unaelewa ungeelewa nilichosema.
Pili..
Kama hicho kichochoro hakina magari kisa wanakikwepa sasa hivi vyenu tutasemaje maanake havina magari zaidi. Yani ukihesabu gari moja kwa hiki kidaraja chenu utahesabu kumi kwa Nairobi Expressway halafu bado mpo busy mnajifariji kwa vicheko bandia.
nyerere_bridge_-_kigamboni_.jpg
 
Kila siku tunawaambia hapa kwamba tumewazidi kwenye sekta kadhaa muhimu mnadhani ni utani. Ona sasa.

Wakati unafurahia viwanja vyenu kuhudumia abiria milioni sita, viwanja nchini Kenya vimehudumia abiria milioni 12. Yani mara mbili ya viwanja vyenu.

Now you know why we are the aviation hub in the region.
 
Using something doesn't mean you understand it. What do you know about transportation engineering? Sasa ukiita expressway dual carriageway wakati expressway lazima iwe dual carriageway utasema unaelewa nini kuhusu expressway? Do you even know what makes a road an expressway? Ungekuwa unaelewa ungeelewa nilichosema.
Pili..
Kama hicho kichochoro hakina magari kisa wanakikwepa sasa hivi vyenu tutasemaje maanake havina magari zaidi. Yani ukihesabu gari moja kwa hiki kidaraja chenu utahesabu kumi kwa Nairobi Expressway halafu bado mpo busy mnajifariji kwa vicheko bandia.
nyerere_bridge_-_kigamboni_.jpg
Kwahio unakubali hio expressway haina magari ila unapata faraja kwasababu na kigamboni way haina magari. We are on the same page then.
Nakuja Nai after two weeks. Don't worry nitafikia Lavington sitatembelea sehemu chafu chafu
 
Nimekueleza kwa nini Expressway haina msongamano ila umejifanya zuzu, ama labda wewe ni zuzu kiukweli. It is an expressway, meaning it has no direct intersections. Hiyo barabara ya chini sio expressway, ina direct intersections kwa hivo kila mara magari yanasimama kupatia magari mengine nafasi yapite and in the process yanatengeneza msongamano. Ndio maana kwa hizi picha ukitazama side moja hamna msongamano ila side nyingine kuna msongamano kisa magari yamesimamishwa mengine yapite. Kama huwezi elewa hilo then this topic is not for you.

Pili, sipati faraja yoyote wala Kigamboni hainihusu. I'm simply pointing out your hypocrisy of removing a speck in your friend's eye when their's a log in yours. Wewe kila mara huwa unaingia mijadala ukijifanya voice of reason ila arguments zako ni unafiki tupu.

Wewe njoo tu Nai, hatuna shida. Hata ukitaka kutembelea sehemu mbaya ni sawa. Huku hata mitaa ya kimaskini ina lami. Hatuna wasiwasi. You're welcome.👍
 
Yani hii expressway bado inauma bongolalas till date. Bongolalas muache ushamba, mukitaka kuona magari kwa expressway inafaa munaglie picha za exit and entrance points ju expressway hua haina foleni kila pahali. Muache ushamba mafala.
Image
Same applies Kigamboni. Gari nyingi utaziona pale kwenye toll booths. Tuwekee hio picha.
 
Nimekueleza kwa nini Expressway haina msongamano ila umejifanya zuzu, ama labda wewe ni zuzu kiukweli. It is an expressway, meaning it has no direct intersections. Hiyo barabara ya chini sio expressway, ina direct intersections kwa hivo kila mara magari yanasimama kupatia magari mengine nafasi yapite and in the process yanatengeneza msongamano. Ndio maana kwa hizi picha ukitasama side moja hamna msongamano ila side nyingine kuna msongamano kisa magari yamesimamishwa mengine yapite. Kama huwezi elewa hilo then this topic is not for you.

Pili, sipati faraja yoyote wala Kigamboni hainihusu. I'm simply pointing out your hypocrisy of removing a speck in your friend's eye when their's a log in yours. Wewe kila mara huwa unaingia mijadala ukijifanya voice of reason ila arguments zako ni unafiki tupu.

Wewe njoo tu Nai, hatuna shida. Hata ukitaka kutembelea sehemu mbaya ni sawa. Huku hata mitaa ya kimaskini ina lami. Hatuna wasiwasi. You're welcome.👍
Povu.
 
Mnapenda sifa za ujinga wakati ukienda Africa kusini hata hawawatambui.
Hakuna anaependa sifa za Kijinga, ni ukweli tu!
We don't have anything in common na wananchi wa Namibia, Angola, Mozambique, Zimbabwe lakini huu ndio ukweli.

Back
Top Bottom