Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,619
- 15,712
The pot calling the kettle black!Wacha personal attack watchman.
The pot calling the kettle black!Wacha personal attack watchman.
Walishatoka wapi bongolala? Kama kuna nchi huko ulaya hazijawahi kuwa na reli tangu Dunia iumbwe sasa ni wapi wametoka? Ubishi za mibongolala zinaudhiWatchman nchi nyingi za ulaya usipende kuweka comparison na nchi za kiafrica, wao walishatoka huko kitambo, mm nakuambia Tanzania ipo mbele ya Kenya kwa kila kitu kasoro slums, uchafu na ukabila.
K know you are too lazy to do even a simple Google search. Maija yao ni Cyprus. Kuna zingine kadhaaSasa si useme ni nchi gani hiyo?
Cyprus doesn’t have a functioning railwayBongolala, don't be too lazy. Cyprus is One of them kijana wa Tandale
Sasa swali ni je, Tanzania inaizidi Cyprus kimaendeleo just because Tanzania has electric train while Cyprus doesn't even have a railway line?
Of course it is...according to Tanganyikan standards. Si hata huo mji wenu wa uswazi mnaiita New York?🤣🤣Hapo ni Beverly Hills
If it's not functioning does it count in anyway? Kitu ilitumika wakati bado nchi yako inaitwa Tanganyika!Cyprus doesn’t have a functioning railway
![]()
The Railway of North Cyprus
Discover the fascinating history of the North Cyprus railway which was in operation for over 46 years, carrying both passengers and freight across the island.www.cyprusparadise.com
Bongolala, don't be too lazy. Cyprus is One of them kijana wa Tandale
Sasa swali ni je, Tanzania inaizidi Cyprus kimaendeleo just because Tanzania has electric train while Cyprus doesn't even have a railway line?
So nyinyi highrises mnajenga tu cbd pekee yake? And are you trying to justify uwepo wa barabara za vumbi kwenye Moja ya mitaa yenu ya 'kifahari'?Earlier I told you kuwa sisi hatujengi high rises kama nyie halafu barabara ya tope ukaweka hiyo picha hapo nikakuuliza nioneshe high rise buildings hapo.
Ukumbuke pia hapo sio CBD.
Kumbe leo GDP ina umuhimu? Na wao pia wamepika yao?
Sisi mpaka leo tunaitambua nchi yetu kama Tanganyika (Tanzania bara) na mm ni mtanganyika pure kabisa, Tanganyika (Tanzania bara) ndiyo nchi iliyoendelea zaidi East and central Africa utake usitake watchman.If it's not functioning does it count in anyway? Kitu ilitumika wakati bado nchi yako inaitwa Tanganyika!
Nimekupeleka kule unapotaka wewe kwasababu wewe ni jaluo mkenya mnapenda GDP, hapo nadhani umeona ujinga wako ulipojificha.Kumbe leo GDP ina umuhimu? Na wao pia wamepika yao?
Wewe kujitambulisha kama mtanganyika inihusu aje? Eti utake usitake 🤣🤣. Take a chill pill kijana wa TandaleSisi mpaka leo tunaitambua nchi yetu kama Tanganyika (Tanzania bara) na mm ni mtanganyika pure kabisa, Tanganyika (Tanzania bara) ndiyo nchi iliyoendelea zaidi East and central Africa utake usitake watchman.
Ujinga gani mnyamwezi?Nimekupeleka kule unapotaka wewe kwasababu wewe ni jaluo mkenya mnapenda GDP, hapo nadhani umeona ujinga wako ulipojificha.
Unaelewa huku kwetu sisi vijana tunamaanisha nn tukisema mnyamwezi? Mnyamwezi maana yake mjanja, au mtu kutoka mbele huko unyamwezini yn Europe au America, jaluo wewe.Ujinga gani mnyamwezi?
Classy? 🤣🤣🤣Mambo ya mpito tu hayo, form is temporary but classy is permanent.
Will Paul kagongwa vitasa.Classy? 🤣🤣🤣
Kizungu cha Tandale kwa mfuga mbwa
Eti mmetupita kwenye FIFA?🤣🤣Tumewapita kwenye FIFA rankings, kwenye club rankings na kila kitu kuhusu soka, kaa kimya na uishukuru Azam kutoka Tanzania kuja kuamsha kdg soka lenu la matopeni.
Will Paul ni nani?Will Paul kagongwa vitasa.
We have electric powered sgr,Wewe kujitambulisha kama mtanganyika inihusu aje? Eti utake usitake 🤣🤣. Take a chill pill kijana wa Tandale
Eti mmetupita kwenye FIFA?🤣🤣
FIFA ya Tandale ama ile ya dunia nzima? Ama unamaanisha FIFA ya playstation?