Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View: https://x.com/BusesNation/status/1865773037276057818?t=HDGe8ll9wKWfWS7nRHDfbA&s=19
20241208_203230.jpg
20241208_203234.jpg
 
Wewe kichaa? Sasa hivi ukienda Kigamboni lazima upite hio toll bridge na gari. Sasa unataka kusema wakazi wa Kg hawatoki huko? Kuna traffic kali sana hapo during peak hours.
Weka picha uwache ufala. Kama hii hapa pikipiki moja. Mmeshindwa kulipa toll? Kama daraja mnashindwa sasa mkipewa expressway ya KM 27 mtaweza. 😂

nyerere_bridge_-_kigamboni_.jpg
 
Wewe kichaa? Sasa hivi ukienda Kigamboni lazima upite hio toll bridge na gari. Sasa unataka kusema wakazi wa Kg hawatoki huko? Kuna traffic kali sana hapo during peak hours.
Wajinga sana na daraja wamerudisha asilimia nyingi ya fedha yao imebaki kidogo tu toll ziondolewa alafu kuna huyo anatuletea eti piki piki moja?

Unaona kabisa kila kukicha expressway ina gari tano licha ya kuwa mjini kabisa. Chini mrundiko.
 
Narudia hawa ndugu wana KENYA yao pekee ambao wengine hatuijui kabisa. Na Tanzania yao tusiyoijua.

Imagine mtu anaamini kuna Tanzania ambayo Barabara yake ya CITY haipitishi traffic ya Gari tano.

Na ameweka kabisa Daraja la Kigamboni ambalo NI LAZIMA KULITUMIA UKIENDA KIGAMBONI eti hawalipi toll

View: https://youtu.be/1c68YK7l5nA?si=BGXhcNFBN_phdK09
 
2020 mtandao wa barabara ulikua 12k + tena leo 2024 mnatuambia same issue tuseme miaka minne hakuna barabara zimejengwa zikakamilika???
Uliambiwa na nani? Magufuli alijenga Barabara zipi alipokuwa Rais? Si nilikuwa nawaambia humu jf kwamba mikoa aliyopokea Kwa JK.ikiwa haijaunganishwa amekufa na kuacha haijaunganishwa.

SGR ni hasara Kwa Nchi,ni akili za hivyo tuu ndio atatumia Trilioni 13 kujenga sgr km 700 na miundombinu yake badala ya kujenga km zaidi ya 8,000 za lami.
 
Wewe kichaa? Sasa hivi ukienda Kigamboni lazima upite hio toll bridge na gari. Sasa unataka kusema wakazi wa Kg hawatoki huko? Kuna traffic kali sana hapo during peak hours.
Huyo jamaa ni pimbi lile aina ya wale mapumbavu yanayoichukia Tz bila sababu za msingi. 😂😂😂 eti limeenda kutafuta picha ya boda moja then linakwambia eti hapo hakuna traffic ya gari tano.. si ni uzuzu huo. A place like kigamboni .? Sehemu iko na population like 300k+.. jamaa nilipumbavu kweli.
 
Uliambiwa na nani? Magufuli alijenga Barabara zipi alipokuwa Rais? Si nilikuwa nawaambia humu jf kwamba mikoa aliyopokea Kwa JK.ikiwa haijaunganishwa amekufa na kuacha haijaunganishwa.

SGR ni hasara Kwa Nchi,ni akili za hivyo tuu ndio atatumia Trilioni 13 kujenga sgr km 700 na miundombinu yake badala ya kujenga km zaidi ya 8,000 za lami.
ww ni kondoo kweli 😂😂😂😂😂
tuliambiwa na tanroad na wizara ya ujenzi

2020 barabara ambazo tanzania zilikua na lami zilikua 12k + leo 2024 unatuambia tena ni 12k

sasa tuambie hzo barabara zilizojengwa mpaka sasa hazijakamilika au
 
ww ni kondoo kweli 😂😂😂😂😂

2020 barabara ambazo tanzania zilikua na lami zilikua 12k + leo 2024 unatuambia tena ni 12k

sasa tuambie hzo barabara zilizojengwa mpaka sasa hazijakamilika au
Weka takwimu Wacha ujinga,hata ukiingia TanRoads hakuna hiyo network.

Kwa Barbara zipi alizojenga Mwendazake Hadi tuwe na hiyo figures?
 
Back
Top Bottom