Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa anaongelea number of passengers passing through Arusha Mabati rolling Mill wewe unaongelea picha, picha itaongeza idadi ya wasafiri?😂😂
Sasa mtu anajua airport ya Arusha ya old hajui iliyopo unategemea argument zake ziweje.

Number gani wewe, kwani hujui ndege zikiikosa JKIA zinaenda KIA.

Kisumu kila siku kutuletea majengo hayana watu.
 
Mzee si kwamba hayupo updated ni kuwa propaganda imeingia haamini kuna kizuri only kibaya. So akigoogle kizuri anakana.

Akishindwa anaanza tafuta changamoto ya kizuri
Halafu unajua sisi tunaenda kuwadhihirishia dunia aside Dar kuna other modern cities that can hold a big event! Yaani kuna Arusha, Dodoma and Stonetwon!
 
Back
Top Bottom