You are very stupid!
Nambia ilikuwa kama moja ya province za South Africa kipindi chote cha Apartheid na ndio walioijenga.
Cities: Windhoek, Swakopmund, Walvis Bay, Keetmanshoop, Luderitz. Hi miji yote na mengine mingi ni majina ya Kiafricans cha Boers. Wanamibia karibia wote wanaongea Kiafricans kwa kuwa, eneo lao walikubali mitaala ya elimu uendeshwa kwa lugha ya Afrikaans wakati vijana South Africa walikataa na ndio machafuko ya Soweto Uprising na vijana wengi kuuawa na kujengwa kwa Somafso in Tanzania, settlement yenye shule, nyumba za makazi, hospitals kwaajili ya vijana wadogo waliokuwa wakikimbia huko.