Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi mzee

umeme unaozalishwa na nyerere dam alone hatuwez kuumaliza kwa sasa ndio maana tunahitaj kuuza sana umeme zambia, burundi, kenya na malawi etc

bado tunahitaji viwanda vikubwa kama vile car assembly plants like Audi, scania, benz etc, bado tunahitaji migodi yote tanzania iunganishwe na umeme, tunahitaj viwanda vya chuma, mbolea, oil refeneries etc

lazma tuweke sera nzuri za kikodi ili kushawishi wawekezaji wakubwa wamiminike nchini, sisi bado tuna sera mbovu sana za kikodi
Sio hapo tu ni pia sera ya kulinda viwanda vya ndani, for now tuna viwanda vingi vya cables ila bado unaruhusu imports ya cables kutoka chini kama si uchizi nini?

Sasa watapata wapi faida?

Sera inatakiwa kua hivi kiwanda chochote kikubwa kikiwekwa hapa government iweze hata kufavor kwenye supply tender ya institution na miradi yake huenda wakashawishika.

Mfano hiyo Saturn corporation, ilitakiwa serikali icut imports ya malori ya kichina, sehemu yake ifidiwe na Saturns.

Nakwambia kuna viwanda vingi vitashawishika, TRA nao wamekalia usenge wa kukomoana.

Kiwanda kinaweza kuwa na mnyororo wa kodi directly na Indirectly, shida wao wamekalia directly.

Hata kiwanda cha magari kikija government cars zisapoti gari za ndani.

Imagine hata kiwanda kimoja cha bus kije alafu tuzuie michina ya kila aina ukizingatia AFRICA sisi ndio tunaongoza kununua kwao. Naamini wataleta na viwanda vyao kabisa.

As long as kuna uwazi unaruhusu tu importation kwa kibali maalumu sehemu iliyopungua.

Angalia INDONESIA KAPIGA MARUFUKU IPHONE 16 KISA SAMSUNG, VIVO NA WENGINE WAMEWEKEZA BILLIONS OF MONEY.
 
still bado 2115 MW za julius nyerere dam alone hatuzimalizi kaka huo ndio ukweli ndio maana tunataka kuwauzia majirani umeme ili usipotee bure

kati ya rwanda na tanzania nani mwenye soko la uhakika la magari??? unataka waekezaji wakubwa ondoa urasimu na weka mazingira mazuri ya kikodi



View: https://www.youtube.com/watch?v=ZzoyCeIG6Cs

Mkuu kwa Sasa hatuzimalizi ila baada ya miaka kama miwili umeme utakuwa kidogo kaka.
 
Tutolee maneno ya kanga hapa leta evidence mlipotenga tuone.
Kwani lazima tutengee? Ebu tuonyeshe penye tulitenga pesa za affordable housing, tuonyeshe penye tulitenga pesa za kukata ati Kasarani Stdium, tuonyeshe penye tulitenga pesa za kutengeneza all the ongoing roads projects in Kenya. Tuonyeshe penye tulitenga pesa za kujenga all the small stadiums tunajenga all over Kenya.
 
The good thing you accept slums as part of your city planning😁
Jitahidini mpeleke maji na waste water services sasa.
The good thing those slums has better road connections than your top cream neighborhoodsπŸ˜†.
 
Kweli wewe ni jobless asubuhi,mchana,jioni,usiku upo jf
Yet I live better than you. I’m also sure I have got more money than you, so tell me Mr. Busybody, what have you achieved to compare yourself with me?
 
We have wholly made vehicles in Tanzania that are operating as we speak Nyumbu trucks now show us any BJ60 in operation in Kenya.
Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaendelea na mada ya automotive industry 😁
Nyumbu trucks that haven’t even passed the road test approval? Ebu tuonyeshe hiyo nyumbu ikiwa barabarani and I will show you a Kenyan underground cityπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Dar es salaam yenyewe inakula infrastructure za 1bn dollars as we speak ingekuwa majengo ya high rises tungejenga mangapi? Lakini kupanga ni kuchagua hatuwezi tukajenga magorofa marefu halafu hapo chini barabara ya tope kama huko kwenu 😁🀣🀣🀣
Yet Dar is Slum only have 400km of tarmacked roads in comparison to 7,000km of Nairobi’s. Aren’t you not ashamed that hata Turkana imeshinda Dar is Slum in terms of road network?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Alafu Kuna ujenzi wa reli mpya kutoka Angola kuja Congo kuunga Zambia na Tanzania. Unaitwa "Corridor do Lobito" Phillip Mpango na maraisi wote walikutana Angola na Raisi wa Marekani Kwa ajili ya huo mradi. Mambo ni moto,πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
That railway line will be final mail to Dar port coffin. Ama unadhani Zambia, Malawi na DR wataacha bandari that is closer to USA and UK wakijaribu kwa Hilo bandari lenu inefficient that need going around Africa ndio ufike USA? When that railway comes to fruition Tanzania will be doomed.
 
Tanzania sio Rwanda wala Uganda, sisi ndiyo baba wa East and central Africa, so you must know the names of Tanzanian leaders.
Wewe shuka, umedandia mada. We must know the names of Tanzanian leaders wakati Mimi hapa hata makamu wenu wa Rais simjui jina wakati wewe hapo na vilaza wenzako mnajua mawaziri wetu wote hadi magavana na manaibu wao wote
 
Wewe shuka, umedandia mada. We must know the names of Tanzanian leaders wakati Mimi hapa hata makamu wenu wa Rais simjui jina wakati wewe hapo na vilaza wenzako mnajua mawaziri wetu wote hadi magavana na manaibu wao wote
The only known leader known by at most 0.5% of Kenyans I think is their President. Kwao wanajua all the spouses of Kenyan governorsπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Hahaha

Kama umevamia msitu na kiwembe ukitegemea kuvuna mbao ni ufala wako tu huo. Karibu kwenye battle... Tunatumia every means in full force kuponda vichwa vya kondoo type yako.

Hongereni bhanaa... Nasikia kwa mara ya kwanza toka kunyaland imeumbwa... Ndio saa hii pesa za Nchi zote zinalala homabay kwa jaluos... Hahaha jaluo
So you wanted the minister of finance to be a Luo in every government? Is that your thinking? How about Kurians, Pokomos, Kambas, Maasais, Taitas? Ama huko kwenu Tanganyika kila kabila limepewa nafasi kuwa na waziri wa fedha?
 
Back
Top Bottom