Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwnn unalazimisha kuishi nchi za watu? C urudi kwenu ulipozaliwa mbwa wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa ju nilizima ur argument umeanza matusi …😄
Si ni wewe ulipost kitambo ule Jamaa Mtanzania mwenye trucking company hapa US … so according to you yeye ni mbwa pia..🤣🤣🤣🤣… we know you envy America 🇺🇸 soo much ndio hata umetupia picha ya Obama … I promise to hook you up with a watchman job if you come.. the start pay ni $25 an hour before you get a conceal and carry permit ( gun) which jumps to $35 or more an hour ) though varies from state to state ….imagine working 8 hours a day 6 days a week..Would you decline such an offer mtu wa Tandale ?… 🤣🤣🤣🤣
 
Huyo watchman hata hana Passport😂😂😂.
 
Sio tuu Kibaha Bali Nchi nzima ila kitovu ni Pwani na Dar.

Huku niliko Kuna viwanda 2 vikubwa vinaendelea na Ujenzi,mwakani vinaanza uzalishaji
Kwa style hiyo umeme hautoshi hata kidogo, we fikiria kwa mwaka mmoja tu mahitaji yamejump kwa 400 Sasa vikiisha vyote si itakuwa Balaa, kwa ujumla viwanda vinavyojengwa ni Vingi sana.
Ukienda kule goodwill mkuranga ni kama kavurugwa , kiwanda kina upana wa karibia 1km moja
 
Mombasa
Image

Na hapo Bado mamigodi rundo hayana umeme
 
Back
Top Bottom