The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
HahahaHongera bongolala for following Kenyan news and affairs holistically. Inashangaza sana how well versed Tanzanians are about Kenyan government. Sisi hata mawaziri wenu hatuwajui. Yani hatupotezi muda kufatilja masuala yenu
Pole aseeIt’s not regular Kenyans … it’s Politicians trying to gain an extra political mile out of a situation even when it’s taxpayer funded… Kenya Politics huwezani nayo …forget international, soon utaona “Solar System stadium “… Lakini Wakenya tumezoea Ujinga wa Politicians and we are about to end that nonsense…
Kwani nani asiyejua, wakenya wengi mnaenda USA kutokana na lottery ukiwemo wewe, mkifika huko mnabeba box na kutuma remittance hom, nyie ni kama wa Nigeria, sasa Trump anaenda kufuta huo usenge, na nyie wengine mnarudishwa kwenu kama hutaki unauwawa, sio kwenu unalazimisha kuishi kwnn.First time I heard you say that … you must have applied this year…🤣🤣🤣…. Good luck … watchmen make good money here but you have to give up your rungu …😂
Acha arguments za kitoto.Nini ya kizamani hapo bongolala? The fact that you know our entire cabinet and all the 47 governors and their deputies as well as as spouses ama?
Tanzania sio Rwanda wala Uganda, sisi ndiyo baba wa East and central Africa, so you must know the names of Tanzanian leaders.Kama unaona ni ujinga hebu nitajie jina ya waziri ya michezo wa Uganda na Rwanda kama unawajua jinsi ujuavyo Murkomen wetu (without Googling)
Yet your investors keep on buying those buses from Kenya. Anyway why should I be discussing with a poor mongoose that can’t even buy a bus windscreen?Hiyo bus huku Tanzania haitaruhusiwa kufanya kazi maana haijakidhi hata minimum vigezo vya passengers buses in Tanzania.
Sasa mimi ndo nimeharibu Barabara? Kamfokee Sakaja na Ruto hukothis not argwins khodhek road, this chania avenue off Wood Avenue. Argwins khodhek Hakuna Mahali iko na kabro, it's all termac..... Wacha ujuaji mwingi na Hakuna kitu unelewa we mshamba. Alafu hio lane imeharibiwa na heavy construction tippers juu the whole area is a construction site.
nop kutangaza wanaeza tangaza kama kulikua na udanganyifu but kwa sasa am not sure coz walishabadilisha maamuzi so sina hakika kama watarudi kuitaka bamburi, na pia wakenya hawako tayar kwa hiloKwani unadhani wanatangaza bila kuwasiliana nao?
nafuu gani kaka kapewa mwanza airport mkataba sijui wa miezi sita sasa hvi mwaka unaisha na mwaka wapili utaisha hajamaliza, hatukatai wapewe wazawa lakini sio project kubwa zinazohitaji technology kubwaLakini ni sawa tu kama anaweza Kwa gharama nafuu kidogo na akajiri wazawa na kuwajengea uwezo