Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ba
Huu upuuzi wa US umechelewa sana saahii construction of facilities is in full swing! Hata kule Lobito corridor Mchina is in control within DRC n TAZARA is to be revived! Pata picha kama mradi wa Bagamoyo port ungekuwa unaendelea!
Bagamoyo Port nilikuwa namlaumu magufuli Kwa kuupiga chini lakini Hadi mama alipoingia madarakani alipojaribu kuurejesha uozo alokutana nao Hana hata hamu
 
Wahurumie mzee hawana options nyingine, Tanzania ina option nyingi za kugenerate mapato zaidi Kenya na haizitumii kisawa sawa. Ila Kenya ina option chache ila inazitumia vizuri.

Sasa hizo option chache unakuta Mbongo analeta mkwanja wa maana kweli kweli. Unataka wafanyaje imagine mkwanja wa mbongo unaibeba sekta yote mfukoni. Si watalia na kusaga meno. Ndio wanajihami.

Ndio maana ni rahisi Tanzania kuendelea bila taabu ikipewa protectionism or ban na Kenya kwenye bidhaa ila ni ngumu Kenya kutoboa ikila Ban or protectionism.

Refer Sakata la Ndege tu.
sasa wanafanya nn EA common market?
 

View: https://x.com/nchapietv/status/1864390523122835617


View: https://x.com/citizentvkenya/status/1864382524631187797

MY TAKE
Kundurenda Teargas, NairobiWalker n mwathadan mko wapi? Kama Savannah group wana muscles za ku-compete waje wafungue cement plant Tanzania! Na si protectionism moves za kipumbavu na hawana fedha! Hawa Savannah group ni utapeli tu hamna chochote!


View: https://x.com/lawrencekitema/status/1862161684317471061



It’s time now Bakhresa Group iende kufungua milling plant yake Mombasa baada ya frustration za kipuuzi za utawala wa Kenyatta!


Sasa rasmi tunakamata soko lao la construction 😁
 
Ila Ruto yupo fair aisee hii maneno kama ingekuwa kipindi cha Uhuru sahau! Refer how Bakhresa was treated when trying to establish a milling plant in Mombasa!
Sio kwamba yuko fair mkuu bali FDI zimekauka huko dollar hamna madeni luluki economy in the doldrums moja haikai mbili haikai wanalazimika kukubaliana na mziki wa Tz angalau wapate chochote kitu.
 
It’s not regular Kenyans … it’s Politicians trying to gain an extra political mile out of a situation even when it’s taxpayer funded… Kenya Politics huwezani nayo …forget international, soon utaona “Solar System stadium “… Lakini Wakenya tumezoea Ujinga wa Politicians and we are about to end that nonsense…
Politicians take you guys for a ride cause they know that you are all blinded by that ukabila shit hamchomoki hii pekee ni assurance ya kura kwao.
 
Halafu kuna Barabara za pavements nyingi sana Kwenye mitaa ya Nairobi, Mombasa etc.
Aisee aliyewajengea hizo Barabara aliwaibia ni muongo na aliwaibia...yaani kuliko kujenga Barabara za namna hiyo bora muache ibaki na vumbi tu huku mkijipanga kujenga Barabara za maana kama zilizojengwa Makumbusho, Tandale, kijichi, mwananyamala nk...
Sijui kenya walikuwa wanarush wap...au walikuwa wananataka sifa kuwa wa Barabara nyingi za lami online?

Ona sasa hii Barabara lazima ifumuliwe upya kabisa...haiwezi fanyiwa hata repair
Kilimani Nairobi
1733407569798.jpg
 
Back
Top Bottom