ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi mzee
umeme unaozalishwa na nyerere dam alone hatuwez kuumaliza kwa sasa ndio maana tunahitaj kuuza sana umeme zambia, burundi, kenya na malawi etc
bado tunahitaji viwanda vikubwa kama vile car assembly plants like Audi, scania, benz etc, bado tunahitaji migodi yote tanzania iunganishwe na umeme, tunahitaj viwanda vya chuma, mbolea, oil refeneries etc
lazma tuweke sera nzuri za kikodi ili kushawishi wawekezaji wakubwa wamiminike nchini, sisi bado tuna sera mbovu sana za kikodi