Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


instanbul atatafuta lane moja katikati mwa construction site yenye imechubuka kuprove Nairobi hamna barabara. Meanwhile 623 sq. km of Dar hamna barabara hata moja ya lami. Mitaa ya kifahari kama Mbezi ni 95% Vumbi. 😂 😂

Screenshot 2024-11-19 185145.png
20221124_135741-jpg.2439637
 
Dar es salaam yenyewe inakula infrastructure za 1bn dollars as we speak ingekuwa majengo ya high rises tungejenga mangapi? Lakini kupanga ni kuchagua hatuwezi tukajenga magorofa marefu halafu hapo chini barabara ya tope kama huko kwenu 😁🤣🤣🤣
Unasema hamuwezi jenga magorofa halafu chini ni tope eeh? 😂 😂 😂

20221124_135741-jpg.2439637
 
Back
Top Bottom