Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Workmanship is fully Kenyans, Add that to the 30% locally made materials. Nyinyi kwanza hamfai kuongea juu you don’t know anything kuhusu automotive.
We have wholly made vehicles in Tanzania that are operating as we speak Nyumbu trucks now show us any BJ60 in operation in Kenya.
Tuanzie hapo kwanza kabla hatujaendelea na mada ya automotive industry 😁
 
Tanzania lags behind in Everything, ingekuwa you put your money in what you say saa hii hamngekuwa kwenye Kundu la LDC.
Dar es salaam yenyewe inakula infrastructure za 1bn dollars as we speak ingekuwa majengo ya high rises tungejenga mangapi? Lakini kupanga ni kuchagua hatuwezi tukajenga magorofa marefu halafu hapo chini barabara ya tope kama huko kwenu 😁🤣🤣🤣
 
Kwa style hiyo umeme hautoshi hata kidogo, we fikiria kwa mwaka mmoja tu mahitaji yamejump kwa 400 Sasa vikiisha vyote si itakuwa Balaa, kwa ujumla viwanda vinavyojengwa ni Vingi sana.
Ukienda kule goodwill mkuranga ni kama kavurugwa , kiwanda kina upana wa karibia 1km moja
ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi mzee

umeme unaozalishwa na nyerere dam alone hatuwez kuumaliza kwa sasa ndio maana tunahitaj kuuza sana umeme zambia, burundi, kenya na malawi etc

bado tunahitaji viwanda vikubwa kama vile car assembly plants like Audi, scania, benz etc, bado tunahitaji migodi yote tanzania iunganishwe na umeme, tunahitaj viwanda vya chuma, mbolea, oil refeneries etc

lazma tuweke sera nzuri za kikodi ili kushawishi wawekezaji wakubwa wamiminike nchini, sisi bado tuna sera mbovu sana za kikodi
 
ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi mzee

umeme unaozalishwa na nyerere dam alone hatuwez kuumaliza kwa sasa ndio maana tunahitaj kuuza sana umeme zambia, burundi, kenya na malawi etc

bado tunahitaji viwanda vikubwa kama vile car assembly plants like Audi, scania, benz etc, bado tunahitaji migodi yote tanzania iunganishwe na umeme, tunahitaj viwanda chuma, mbolea, oil refeneries etc
Eti “ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi” 😂😂😂. Hii statement mara ya mwisho kuiskia nilikua mdogo sana.
 
History sio dogma
tazama nchi nyingi ambazo misingi yake imeanza kwenye ujamaa hua haiyumbi ovyo ndio maana unaona hata china ni tishio duniani kwa sasa kwasababu ya misingi ya ujamaa iliowekwa na waasisi wake

wewe unafkiri hii amani ilioko tanzania bila ujamaa ungeikuta hii amani subutu yake 😂😂
 
Back
Top Bottom