Hujui kuwa unakoita 'majuu' kuna sehemu inaitwa Mukuru kwa Njenga? Ha ha ha😁Wamekuja majuu.
Huoni vile macelbs wao wamefurahi kuja Kenya? Juzi tu Stivo Simple Boy alikuwa huko kwao na hata hakuna mwenye alijua. Sauti Sole alienda performance huko na hakuna hata Mkenya aliongelea😂Wamekuja majuu.
Hapo Mukuru imejazwa na house maids, beggars and hawkers from Tanzania.Hujui kuwa unakoita 'majuu' kuna sehemu inaitwa Mukuru kwa Njenga? Ha ha ha😁
Somewhere in Dar 👇👇5 floors za kawaida. Baboonman aka Sama boy 255 hizi ndio gorofa ulikuwa unaongelea?😂😂😂🤣
Ndio Ruto anavyokudanganya?😎😁😁Hapo Mukuru imejazwa na house maids, beggars and hawkers from Tanzania.
Wewe mwalimu umezoea kudanganya wanafuatilia unadhani wote ni waongo kama wewe?Ndio unavyojidanganya?😎😁😁
Kipchirchir Arap Ruto ni muongo wa kutupwa😁Wewe mwalimu umezoea kudanganya wanafuatilia unadhani wote ni waongo kama wewe?
Kama vipi na Afcon wapewe Rwanda naona Kenya wako busy na Ruto must go
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1865261544969212062?t=0WrApEVptRBgDnXJ5391Dg&s=19