Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
Usiombe The best 007 akusagie kunguni, kwanza yuko consistent na hachoki kukwambia I Told You…….😅😅Kinamna The best 007 utabiri wake unakuja kutick.
Usiombe The best 007 akusagie kunguni, kwanza yuko consistent na hachoki kukwambia I Told You…….😅😅Kinamna The best 007 utabiri wake unakuja kutick.
Namshangaa mwenzenu mwaiofhawaii haijui historia ya Kenya na East Africa kwa ujumla. I'm just dishing out straight facts. Kiswahili hakikuzaliwa Tanzania ila Tanzania ndio the current and only "Swahili Nation" par excellence. Mizizi ya Kiswahili inatokea Somalia. Kipindi hicho, wakulima wakibantu walisettle kwenye bonde ya mito ya Juba na Shabelle. Huo ustaarabu ndio unakumbukwa kama Shungwaya. Mji mkuu wake ulikwepo Somilia ya kusini kwenye maeneo ya kijiji cha Burgabo. Ila milki yake iliinclude maeneo ya modern-day kenya na Tanzania ikiwemo Somalia. According to oral traditions it seems like kuna vita ilitokea kati wabantu na watu wa asili ya kisomali, wabantu wakashidwa wakakimbia kwenda kusini zaidi kwa makundi. The most successful of these groups ikawa Wangozi. Na hisi hii group ilikuwa the merchant class in Shungwaya ambao walikuwa na ujuzi wa naval trade routes. Wakadominate sehemu za Pwani hadi Msumbiji. Pia kwasababu walikua exposed na mambo ya dunia, wakaja kuadopt Uislamu. Baada ya hio Shungwaya kuanguka, hakukuwa na political unity tena, bali city states zikatokea. Tunawaza kusema kwamba hii stage ya city states ndio the "Swahili Era". City state ya kwanza kudominate the region ilikua Kilwa. Hii ndio maana Watanzania tunasema Swahili ilioriginate in Kilwa maana Kilwa ilikua the first great Swahili city state. Baada ya hapo, Lamu ikadominate. Ilifuatwa na Mombasa, ikaja Zanzibar. Zanzibar ilikua the last of the the classical Swahili city states to dominate. Its successor is the Swahili NATION STATE of TANZANIA. This is why Tanzania is the only current Swahili Nation. Kenya is a nation where Swahili has a hustory and a presence, but it is not and has never claimed to be a Swahili nation. Sisi ndio the successors of Shungwaya, Kilwa, Lamu, Mombasa, and Zanzibar.Unaongelea Kingozi na Shungwaya vizuuuri alafu unasema Wakenya hatujui historia yetu yet tumekuwa tukiwafunza wenzako humu kuhusu Shungwaya na Kingozi for years wao wanakataa eti Kiswahili kilianzia Kilwa. Nyie ndio wa kushangaa. Mnaita Kiswahili lugha yenu na hamjui historia yake. Ebu eleza wenzako kuhusu Shungwaya na Kingozi waelewe. Hilo la Wapokomo kuwa descendants wa wangozi nilishaasema humu kitambo sana na wenzako wakanipinga, usione kama unatufunza kitu hatujui.
Mwaka wa 2024 bado unaiba picha za wanaume wenzako fala hii.Yaani mwaka huu 2024 bado unaongelea certificates za basic education!?? Stupid Kenyan
Bongolalas post things about Freedom of expression in Kenya while inside their dark souls they envy the same freedoms Kenya has … posting something that can never be allowed in their own country… how ironic!Enda kwa show ya mwanamziki maarufu ama club muanze kuwika Samia Must Go muone kama hicho club hakitafungwa na watu kadhaa kupotea. Ama unadhani hatuijui Tanzania?
Za Mombasa ziwapi?Kenya has more scanners than all East African countries combined.
Lakini wao ka clane kamoja
Bongolalas post things about Freedom of expression in Kenya while inside their dark souls they envy the same freedoms Kenya has … posting something that can never be allowed in their own country… how ironic
Hao ni Ke nyani?These ones in Tz could be beauty queens
View attachment 3168287
Sasa unarudia kusema nilichosema ukitumia paragraph refu bureSio kweli, Kiswahili sio Kimikijikenda, wala hakuna lugha inayoitwa Kimijikenda maana Mijikenda ni muunganisho wa makabila tisa na kila kabila ina lugha yake. Yaani hata historia yenu ya Kenya hamjui. The language closest to Swahili ambayo sio dialect ya Swahili (kama Kibajuni) au descendant ya Kiswahili (kama Kikomoro) ni Kipokomo. In fact both Kipokomo and Kiswahili are said to descend from Kingozi, the precursor to Kiswahili before it became "Swahili", ie. the lingua franca of the Zanj coast. This evolution most likely happened in modern-day Kenya, based on lingustics alone, although oral traditions suggest that Shungwaya, the civilization that birthed not only the Swahili, but several tribes in Southern Kenya and Northern Tanzania, including the Mijikenda group, Taita, Sambaa, Pare, Digo, etc was centered in southern Somalia in the now extinct confluence of the Juba and Shabelle river basins. Jamani Wakenya, know your history. Watanzania tunawashangaa mku eager sana kujionyesha wajanja kwa kizungu mnasahau kwenu. Kujua Kiingereza sio kitu, sio muda kitapitwa na Kichina. But we must know ourselves first.