Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Mkuu mbwa wapo sorting, sio at the check in counter, yn abiria huwezi kuwaona au kukutana na mbwa, wapo nyuma ya jengo. Kwenye zile scanner kuna watu na huwa mara nyingi tu wanapitisha mizigo haramu kwa kupewa rushwa, sasa wale mbwa kule nyuma wanatumika kuhakikisha mizigo imebeba vitu salama, ni kama unavyoona panya wanaotumika kutegua mabomu na ndivyo mbwa hivyo hivyo. Wanyama wana uwezo mkubwa sana wa kujua vitu haramu kuliko binadamu mkuu.Mmmh sijui kwa utaratibu upi ila kama ni vitu hatarishi hakuna kitu scanner kitaacha kuona.
Nadhani ni namna ya utendaji tu ndio inakwamisha.
But sijaona ulazima wa mbwa kunusa begi.
Na hiyo sehemu mie nikifika Haki ya Mungu sipati huduma nageuza chap.
Sawa ila idadi ya wateja na gharama za mradi zitaendana zitaendana?Watu ni wajuaji humu ndani! Mnafikiri SGR ni safari za mikoani tu! MTU wa Moro atapewa urahisi ku-connect flight kutokea Pugu station wakati plans za kujenga light raiway zikichelewa! Na hii SGR inapaswa kuunganishwa na Magufuli bus Terminal kama vile BRT inapaswa kwenda mpaka Pugu! Na pia kule Mbagala kwenda mbele zaidi mpaka Kisarawe!
what is 0,6 km? Ushawahi kutembelea viwanja vya ndege vya nchi zilizoendelea? Kama ICD Kwala SGR na hata light railway inapaswa kuwa-connected na means nyingine za transport kama viwanja vya ndege na vituo vya mabasi pia!Sawa ila idadi ya wateja na gharama za mradi zitaendana zitaendana?
Kisumu airport haina air control tower!Uko poa kuliko Kisumu international airport
Yes, I’m wealthier than you. Usilazimishe nikuwe maskini kama wewe.Hivi ndio hali zao zilivyo lakini utasikia Teargas anasema yeye tajiri 🤣🤣🤣
![]()
Kenyans borrowing to survive in a tough economy – survey
The survey reveals that 81.7 per cent of Kenyans are financially unhealthy.www.the-star.co.ke
Hivo ndio ulidanganywa? Kisumu airports receives more passengers and cargo kuliko Kilimanjaro airport.Kisumu airport haina air control tower!
Bro. Majority of the Bajuni people live in Kenya, while a minority live in Somalia. You're contradicting yourself.Shungwaya's capital city was in Somalia opposite of the Bajuni islands. The Bajuni people are also known as Watikuu, ie., Wa-inchi-kuu, ie. those from the capital city. That name is evidence that the area where the Bajuini come from was considered the seat of power of ancient Shungwaya.
Juu hili ni titi la mamako sivyo?Kisumu airport haina air control tower!
That old man hajui anachoongea.
Wangejenga second station sehemu nyingine tu!! Mji mkubwa sana huu, mtu anatumia mpaka masaa mawili kwenda pale station ili aende moro tu. Wangejenga nyingine hata kilivya au kibaha kabisa!Lakini hii project naona Haina maana ni upotevu wa pesa
SureWangejenga second station sehemu nyingine tu!! Mji mkubwa sana huu, mtu anatumia mpaka masaa mawili kwenda pale station ili aende moro tu. Wangejenga nyingine hata kilivya au kibaha kabisa!
Actually you're revealing your ignarance. Bajuni aka Wagunya, aka Watikuu are found all over the Swahili coast including Tanzania as a result of migration. But they originate from the Bajuni Islands in Somalia.Bro. Majority of the Bajuni people live in Kenya, while a minority live in Somalia. You're contradicting yourself.