Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbwa nyie mkishindwa mnatafuta excuse eti kiarabu. Mkiona kinasifiwa mnajikuta eti chenu.

Hebu Tupishe uongo wenu unawaumbua tu. Kiswahili is Tanzania Language na ni lugha yetu. Apart Tanzania nani mwingine anajua kiswahili sanifu kuzidi Tanzania?

Kuanzia Muziki, Fasihi (Literature), Utamaduni, utafiti na kukikuza, most native speakers, vyote vipo Tanzania alafu unawashwa eti kimetoka Kenya mpo mnastruggle.

Kila lugha inatohoa maneno toka lugha nyingine kiarabu ni 20% kwenye kiswahili, Mostly ni Bantu, unaufahamu hata kiswahili kina maneno yaliyotoholewa kwenye Kireno, Kiajemi, Kihindi, Kiingereza, kijerumani.

KISWAHILI NI KIBANTU FULL STOP. Unless hujui hata lugha ni nini?

Kutohoa maneno hakufanyi iwe lugha nyingine, nionyeshe lugha ambayo haijawahi tohoa maneno kwa lugha nyingine.
Kichukue basi ukiweke mfukoni maanake unakipigania sana..
 
Niliwaambia mnionyeshe penye Ruto alisema Tanzania imeshinda Kenya in every aspect mkalemewa. Baba Lego said that Nairobi is far better than Dar and I can bring the clip lakini there is nowhere Ruto said Tanzania is better than Kenya in every aspect vile mnajaribu kuongeza chumvi.
Ruto spoke English. If you know you know.
 
Back
Top Bottom