The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Jinga kweli kweli hilo lijaluo.Anafikiri kutokujua jambo ndo ujanja kumbe ni ujinga na ushamba.
Jinga kweli kweli hilo lijaluo.Anafikiri kutokujua jambo ndo ujanja kumbe ni ujinga na ushamba.
Mimi nasemaga kila siku hapa. Nairobi imechakaa...wanasema Nawachukia.Kaka mm nawajua hawa jamaa hawana lolote zaidi ya mdomo mpana tu, huwa wanaongopa sana, hiyo Nairobi tu jamaa yangu ametoka huko juzi anasema hakuna mji pale, mauchafu kila kona, mji mchafu saanaa tofauti na alivyokuwa anaambiwa, uchumi wao hautoshi kuandaa michuano hii piga ua, labda caf wawaonee huruma kuandaa Chan lkn afcon wasahau.
Sasa kwani ni sifa hiyo? Hayo mambo ya kihuni mnayoiga iga ndiyo yamewafikisha hapo mlipo, njaa tangu uhuru mpaka leo, ma slums everywhere, miji michafu na hakuna harakati za kujinasua kwasababu serikali hakuna, kila mtu mjuaji.Enda kwa show ya mwanamziki maarufu ama club muanze kuwika Samia Must Go muone kama hicho club hakitafungwa na watu kadhaa kupotea. Ama unadhani hatuijui Tanzania?
Sasa yalivyo majinga yanadhani majengo marefu ndiyo maendeleo wakati hata somalia yapo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nasemaga kila siku hapa. Nairobi imechakaa...wanasema Nawachukia.
Miradi mingi imeishia katikati kuanzia BRT, Railways terminal, commuter train zao hawazikarabati na reli yao ni mbovu kweli, greenpark terminal matatu zimeikimbia...matatu zinapaki popote CBD huko...tunalalamika dar hapa kuwa Bodaboda zimezidi mjini...na Nairobi mji unaelekea huko... bodaboda zinaongezeka kila kukicha... Barabara nyingi zina potholes yaana ukiachana na kile kipedestrian underground tunnels pale uhuru...hakuna mradi wa maana wa public unaoendelea Nairobi...hata zile pavements zao walizoweka cbd zimeanza kumeguka.
Labda ujenzi wa majengo marefu hasa wasomali ndo unaoendelea kwa kasi. Sijui wanaiba hizo hela za miradi wanajua wao
Daah sasa kwa Muslims kama sisi itakuaje bro!??Wala hajasema uongo...SGR wana hadi mbwa za kunusa mabegi kama unaenda mbinguni vile
You don’t know anything wewe baboon. I doubt hata kama you used to score above 25% in Kiswahili, kama unapinga I dare you to post your results here.Ukoo wako na walimu wako wote mnaweza kuwa wanafunzi wangu, likija suala la kujua kiswahili, vimtihani vyako vya form four vya kiswahili vyenye umefanya ni mitihani nilifanya darasa la nne huku Bongo.
Watunga sheria wenyu bado hawajui Kiswahili wanan'gan'gana na kizungu cha ugoko hadi leo huko bungeni😁😁Unaongelea Kingozi na Shungwaya vizuuuri alafu unasema Wakenya hatujui historia yetu yet tumekuwa tukiwafunza wenzako humu kuhusu Shungwaya na Kingozi for years wao wanakataa eti Kiswahili kilianzia Kilwa. Nyie ndio wa kushangaa. Mnaita Kiswahili lugha yenu na hamjui historia yake. Ebu eleza wenzako kuhusu Shungwaya na Kingozi waelewe. Hilo la Wapokomo kuwa descendants wa wangozi nilishaasema humu kitambo sana na wenzako wakanipinga, usione kama unatufunza kitu hatujui.
Nimekwambia hivi wewe na walimu wako, mimi naweza kuwafundisha kiswahili, kwanza kwanini ni bishane na wewe ambae hata kuongea kiswahili hujui.?You don’t know anything wewe baboon. I doubt hata kama you used to score above 25% in Kiswahili, kama unapinga I dare you to post your results here.
Saudi Arabia kuna mbwa iwe warithishwa dini?Daah sasa kwa Muslims kama sisi itakuaje bro!??
I dare you to share with us your Kiswahili exam results tuone kama ulikuwa hata na uwezo wa kupata 25%. You are arguing with people smarter than you na hata huoni aibu fala hii.Nimekwambia hivi wewe na walimu wako, mimi naweza kuwafundisha kiswahili, kwanza kwanini ni bishane na wewe ambae hata kuongea kiswahili hujui.?
Hujanielewa mkuu.Saudi Arabia kuna mbwa iwe warithishwa dini?
As far as kiswahili knowledge is concerned mimi naweza kuwa lecture in your Universities, sio wa kubishana na wewe punguani. Unajua kuongea kiswahili wewe mbupu hata ukaze fuvu kubishana na mimi.? Let alone hayo matokea unataka kuona, can you speak good swahili .? 😂😂😂.I dare you to share with us your Kiswahili exam results tuone kama ulikuwa hata na uwezo wa kupata 25%. You are arguing with people smarter than you na hata huoni aibu fala hii.
Wacha ujinga mabegi hukaguliwa na mbwa! Kwahiyo tu-compromise security kwa ajili ya warithi dini?Hujanielewa mkuu.
Saudi Arabia mbwa wapo ila sio katika sehemu za huduma za kijamii.
Je unaweza kunitajia stesheni ipi ya reli au sehemu ipi ya huduma ya kijamii ambayo wanatumia mbwa kukagua watu huko Saudi Arabia!??
Wewe bado ni katoto. Bado upo na colonial mind set. 🤣 🤣 🤣 🤣 eti examI dare you to share with us your Kiswahili exam results tuone kama ulikuwa hata na uwezo wa kupata 25%. You are arguing with people smarter than you na hata huoni aibu fala hii.
Na tunapanda, wao humu mbona hawapandi la kwao! 😂😂😂Royal Class ya Kesho. Bei yake Tsh 150,000 imejaa. Na nimehesabu Classes zingine za Tsh 120,000 zimebaki sit 10 zijae.
Watu wanapesa bhana Teargas upo?
View attachment 3168304