buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Watu washafikisha 3rd floor nyinyi bado mnapigia kelele foundation. Kweli mtanzania atabaki kuwa mjinga😂😂Wewe NairobiWalker ulikua ukibeza kwamba uwanja haujengwi na juzi uliuulizia, vipi haujaona hizi post leo.? 😂😂😂
Wewe NairobiWalker ulikua ukibeza kwamba uwanja haujengwi na juzi uliuulizia, vipi haujaona hizi post leo.? 😂😂😂
Naskia hamuandai CHAN 2024, andaa viti vya Bar upya for Kasarani 🤣🤣🤣🤣Watu washafikisha 3rd floor nyinyi bado mnapigia kelele foundation. Kweli mtanzania atabaki kuwa mjinga😂😂
Si ulikua unalilia wembe?Watu washafikisha 3rd floor nyinyi bado mnapigia kelele foundation. Kweli mtanzania atabaki kuwa mjinga😂😂
Endelea kusikia. We will hold CHAN mpende msipende.Naskia hamuandai CHAN 2024, andaa viti vya Bar upya for Kasarani 🤣🤣🤣🤣
December 31 ni keshokutwa tu. Viti vya baa vinaweza saidia kujazwa fasta.
Yaani mwaka mzima mmetoa macho tu November ndio mnajifanya kukarabati NYAYO STADIUM 😂😂😂
Wembe gani? Watu wako 3rd floor nyinyi mnashangilia foundation😂😂😂Si ulikua unalilia wembe?
Endelea kusikia. We will hold CHAN mpende msipende.
Miradi ya mabilioni kama hii haiangalii figisu bali feasibility! Ni kosa kufikiria Magufuli alibadili maamuzi ya wapi bomba lijengwe!Hao multinational wanaweza fikiria ikiwa tukiwa na offer nzuri. Sababu EACOP ikiwa proposed Kenya ni kwa Sababu ya COALITION OF WILLING (COW) kuiepuka Tanzania kinamna kuanzia vita ya KIKWETE NA KAGAME, Ugumu wa TZ kuingia mikataba ya pamoja kupitia EA.
Hivyo Nyang'au akaitumia vizuri kujipostion kupata vyote wanavyotaka, kuanzia kupitisha mizigo, Miradi ya pamoja.
Mzee akaingia FIGISU ZIKAANZA.
Hata mama akiamua kwa kushirikiana na Museveni ukitumia mgongo wa EAC ni rahisi tu.
I tell you Bro wanasiasa wanachangia maana hilo ni suala la kitaifa ikiwa hamuelewani nchi na nchi hata multinational hana namna.
Labda kama buthole inaweza host Maneno as that is what u can readily offer as a country!Endelea kusikia. We will hold CHAN mpende msipende.
Mnajua hadi Murkomen, waziri wetu wa michezo huko Mimi hapa hata ukiniuliza jina ya makamu wenu wa Rais sitapata jibuMurkomen haja wahi kufanya kitu tangible...
Mbona kapigwa ban ya kuingia kwa kina Trump?
Jina la mwizi hujitembeza!Mnajua hadi Murkomen, waziri wetu wa michezo huko Mimi hapa hata ukiniuliza jina ya makamu wenu wa Rais sitapata jibu
Hiyo foundation ndio nisione? Kweli wewe ni mjinga😂😂
Wakati Talanta is already on 4th floor.
View: https://youtu.be/LSfaCde5X3Y?si=QnIsZhEK9HPRJByT
Kwani ni uongo ati bado iko kwa foundation? To make it worse it’s a mini stadium.Wewe si ndio uliesema kwamba uwanja wa Arusha umeishia kwene kupima udongo.? Aren’t you.? 😂😂 sahii unapewa risiti zako, unageuza maneno. Jinga kweli.