Haya wale mind readers kujeni hapa mtuambie Ruto anafikiria nini?
View: https://x.com/Kenyans/status/1863922804275515437?t=gViUOolIYXnwiYOnRg32nQ&s=19
View: https://x.com/Kenyans/status/1863922804275515437?t=gViUOolIYXnwiYOnRg32nQ&s=19
First of all, Shungwaya was in Kenya and extended to Somalia a bit not the other way round. No wonder the descendants of Wangozi are Kenyan.Namshangaa mwenzenu mwaiofhawaii haijui historia ya Kenya na East Africa kwa ujumla. I'm just dishing out straight facts. Kiswahili hakikuzaliwa Tanzania ila Tanzania ndio the current and only "Swahili Nation" par excellence. Mizizi ya Kiswahili inatokea Somalia. Kipindi hicho, wakulima wakibantu walisettle kwenye bonde ya mito ya Juba na Shabelle. Huo ustaarabu ndio unakumbukwa kama Shungwaya. Mji mkuu wake ulikwepo Somilia ya kusini kwenye maeneo ya kijiji cha Burgabo. Ila milki yake iliinclude maeneo ya modern-day kenya na Tanzania ikiwemo Somalia. According to oral traditions it seems like kuna vita ilitokea kati wabantu na watu wa asili ya kisomali, wabantu wakashidwa wakakimbia kwenda kusini zaidi kwa makundi. The most successful of these groups ikawa Wangozi. Na hisi hii group ilikuwa the merchant class in Shungwaya ambao walikuwa na ujuzi wa naval trade routes. Wakadominate sehemu za Pwani hadi Msumbiji. Pia kwasababu walikua exposed na mambo ya dunia, wakaja kuadopt Uislamu. Baada ya hio Shungwaya kuanguka, hakukuwa na political unity tena, bali city states zikatokea. Tunawaza kusema kwamba hii stage ya city states ndio the "Swahili Era". City state ya kwanza kudominate the region ilikua Kilwa. Hii ndio maana Watanzania tunasema Swahili ilioriginate in Kilwa maana Kilwa ilikua the first great Swahili city state. Baada ya hapo, Lamu ikadominate. Ilifuatwa na Mombasa, ikaja Zanzibar. Zanzibar ilikua the last of the the classical Swahili city states to dominate. Its successor is the Swahili NATION STATE of TANZANIA. This is why Tanzania is the only current Swahili Nation. Kenya is a nation where Swahili has a hustory and a presence, but it is not and has never claimed to be a Swahili nation. Sisi ndio the successors of Shungwaya, Kilwa, Lamu, Mombasa, and Zanzibar.
Sio kukagua watu, wanakagua mabegi, na wanakagua kule sorting wala sio pale unapo check in.Hujanielewa mkuu.
Saudi Arabia mbwa wapo ila sio katika sehemu za huduma za kijamii.
Je unaweza kunitajia stesheni ipi ya reli au sehemu ipi ya huduma ya kijamii ambayo wanatumia mbwa kukagua watu huko Saudi Arabia!??
Nani kakuambia? Dar is ahead of Nairobi in real estate, just to let you know.Dar ni jiji la kishamba sana, sehemu kubwa hamna mpangilio
Wa Dodoma vp mbona kimya sn?
Hawaandai Chan wala afcon.Nasikia mmepewa hadi mwisho wa mwezi huu la sivyo CHAN 2025 mtaisikilizia kwenye bomba tu.😁
Sasa mkuu si kuna scanner!?Sio kukagua watu, wanakagua mabegi, na wanakagua kule sorting wala sio pale unapo check in.
Kwa mujibu wa historia ya lugha, kiswahili si lugha ilikuepo hapo kwenye historia mnabishana nazo, wewe na huyo you all wrong, tulivyokuanavyo hapo zamani ni pijini zenye misamiati michache inayofanana na kiswahili, kwa mujibu wa wana sayansi wa lugha, Tafiti zimewekwa kisomi na wameeleza wazi contribution ya kila kabila katika kujenga kiswahili tulichonacho leo, ambapo taifiti zilizofanywa na wasomi wa lugha zinaelez kwamba wakati wa kusanifu kiswahili 60% of todays swahili (language of standardization) is kiunguja dialects. 30% kiarabu, 10% ndio contribution za makabila mingine kati ya hizo lahaja kuu za msingi 15. Haya maelezo yapo kwenye vitabu vya kiswahili Historia ya Lugha (topic ya kwanza Form five nilisoma). Katafute hizo vitabu jielemishe then njoo tujadili.First of all, Shungwaya was in Kenya and extended to Somalia a bit not the other way round. No wonder the descendants of Wangozi are Kenyan.
Secondly, you missed the point. Mwaiofhawaii might not have gotten everything 100% right, but it's hypocritical for you to come gun blazing at Mwai when he's 80% correct yet you're okay with your fellow Bongolalas who are 100% wrong. Why not spend sometime educating them on the true origin of the Swahili language? Yani wewe Mwalimu utandike mwanafunzi aliyepata 80% viboko kisa hajafikisha 100% wakati wengine walio na 0% unawaacha?
Hivi ninyi mtamdanganya nani !?First of all, Shungwaya was in Kenya and extended to Somalia a bit not the other way round. No wonder the descendants of Wangozi are Kenyan.
Secondly, you missed the point. Mwaiofhawaii might not have gotten everything 100% right, but it's hypocritical for you to come gun blazing at Mwai when he's 80% correct yet you're okay with your fellow Bongolalas who are 100% wrong. Why not spend sometime educating them on the true origin of the Swahili language? Yani wewe Mwalimu utandike mwanafunzi aliyepata 80% viboko kisa hajafikisha 100% wakati wengine walio na 0% unawaacha?
Achana naye huyo embu hii mada mkuu ife watawaumiza kichwa tu hao.Kwa mujibu wa historia ya lugha, kiswahili si lugha ilikuepo hapo kwenye historia mnabishana nazo, wewe na huyo you all wrong, tulivyokuanavyo hapo zamani ni pijini zenye misamiati michache inayofanana na kiswahili, kwa mujibu wa wana sayansi wa lugha, Tafiti zimewekwa kisomi na wameeleza wazi contribution ya kila kabila katika kujenga kiswahili tulichonacho leo, ambapo taifiti zilizofanywa na wasomi wa lugha zinaelez kwamba wakati wa kusanifu kiswahili 60% of todays swahili (language of standardization) is kiunguja dialects. 30% kiarabu, 10% ndio contribution za makabila mingine kati ya hizo lahaja kuu za msingi 15. Haya maelezo yapo kwenye vitabu vya kiswahili Historia ya Lugha (topic ya kwanza Form five nilisoma). Katafute hizo vitabu jielemishe then njoo tujadili.
Here's the thing, the dialect of Swahili in official use in both Kenya and Tanzania has a Tanzanian origin. Also, Kilwa was the first dominant Swahili city state in the Swahili Era. So Tanzanians are actually 80% right. But to call Swahili a foreign non-African language is so pathetically and embarrassingly wrong especially since the linguistic roots of Swahili can be traced to your own Kenya. Any exposed language takes loanwords from foreign languages. This doesn't make it automatically a foreign language. mwaiofhawaii That is such an embarrassingly ingnorant statement.First of all, Shungwaya was in Kenya and extended to Somalia a bit not the other way round. No wonder the descendants of Wangozi are Kenyan.
Secondly, you missed the point. Mwaiofhawaii might not have gotten everything 100% right, but it's hypocritical for you to come gun blazing at Mwai when he's 80% correct yet you're okay with your fellow Bongolalas who are 100% wrong. Why not spend sometime educating them on the true origin of the Swahili language? Yani wewe Mwalimu utandike mwanafunzi aliyepata 80% viboko kisa hajafikisha 100% wakati wengine walio na 0% unawaacha?
Kuna vitu scanner haiwezi kukagua, kumbuka pale kwenye scanner kuna watu wanaangalia na wanaweza kupitisha pasipo kujua au kwa kujua pia, so mbwa hapewi rushwa akipita ananusa mabegi yote, wale wamefundishwa, kukiwa na sintofahamu yoyote anatoa ishara.Sasa mkuu si kuna scanner!?
Kwani scanner hazitoshi kukagua mabegi!?
Bro tech yote hii ukague mabegi kwa mbwa!?
Mmmh sijui kwa utaratibu upi ila kama ni vitu hatarishi hakuna kitu scanner kitaacha kuona.Kuna vitu scanner haiwezi kukagua, kumbuka pale kwenye scanner kuna watu wanaangalia na wanaweza kupitisha pasipo kujua au kwa kujua pia, so mbwa hapewi rushwa akipita ananusa mabegi yote, wale wamefundishwa, kukiwa na sintofahamu yoyote anatoa ishara.
Shungwaya's capital city was in Somalia opposite of the Bajuni islands. The Bajuni people are also known as Watikuu, ie., Wa-inchi-kuu, ie. those from the capital city. That name is evidence that the area where the Bajuini come from was considered the seat of power of ancient Shungwaya.First of all, Shungwaya was in Kenya and extended to Somalia a bit not the other way round. No wonder the descendants of Wangozi are Kenyan.
Secondly, you missed the point. Mwaiofhawaii might not have gotten everything 100% right, but it's hypocritical for you to come gun blazing at Mwai when he's 80% correct yet you're okay with your fellow Bongolalas who are 100% wrong. Why not spend sometime educating them on the true origin of the Swahili language? Yani wewe Mwalimu utandike mwanafunzi aliyepata 80% viboko kisa hajafikisha 100% wakati wengine walio na 0% unawaacha?
Watu ni wajuaji humu ndani! Mnafikiri SGR ni safari za mikoani tu! MTU wa Moro atapewa urahisi ku-connect flight kutokea Pugu station wakati plans za kujenga light raiway zikichelewa! Na hii SGR inapaswa kuunganishwa na Magufuli bus Terminal kama vile BRT inapaswa kwenda mpaka Pugu! Na pia kule Mbagala kwenda mbele zaidi mpaka Kisarawe!Lakini hii project naona Haina maana ni upotevu wa pesa