Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kiukweli EACOP ina upperhand kwenye hili maana kutoka Unity state kulipo visima mpaka Lake Albert ni around 800km na Total ana oil fields huko wakati kwenda Lamu port au Port Djibouti ni zaidi ya 1500 km!

Uzuri huu mchezo huamuliwa na multinational oil giants na si wanasiasa! Ila naamini kama John Garang angekuwa hai huu mchezo ungekuwa ushaisha zamanii!
Bora umeona ndio maana nasema tukafanye figisu if hatuwezi fund barabara mmpromise tarrif cut kwa mizigo inayopita as long as kuna kaaslimia flani tunakunja kupitia oil yao.

Mbona Uganda tuliweza kwa kuwaambia Tanga port itafanyiwa kazi na kuwapromise vitu kadhaa.
 
Kiswahili 70% ni kimijikenda wanaoishi Kenya
Sio kweli, Kiswahili sio Kimikijikenda, wala hakuna lugha inayoitwa Kimijikenda maana Mijikenda ni muunganisho wa makabila tisa na kila kabila ina lugha yake. Yaani hata historia yenu ya Kenya hamjui. The language closest to Swahili ambayo sio dialect ya Swahili (kama Kibajuni) au descendant ya Kiswahili (kama Kikomoro) ni Kipokomo. In fact both Kipokomo and Kiswahili are said to descend from Kingozi, the precursor to Kiswahili before it became "Swahili", ie. the lingua franca of the Zanj coast. This evolution most likely happened in modern-day Kenya, based on lingustics alone, although oral traditions suggest that Shungwaya, the civilization that birthed not only the Swahili, but several tribes in Southern Kenya and Northern Tanzania, including the Mijikenda group, Taita, Sambaa, Pare, Digo, etc was centered in southern Somalia in the now extinct confluence of the Juba and Shabelle river basins. Jamani Wakenya, know your history. Watanzania tunawashangaa mku eager sana kujionyesha wajanja kwa kizungu mnasahau kwenu. Kujua Kiingereza sio kitu, sio muda kitapitwa na Kichina. But we must know ourselves first.
 
Kiukweli EACOP ina upperhand kwenye hili maana kutoka Unity state kulipo visima mpaka Lake Albert ni around 800km na Total ana oil fields huko wakati kwenda Lamu port au Port Djibouti ni zaidi ya 1500 km!

Uzuri huu mchezo huamuliwa na multinational oil giants na si wanasiasa! Ila naamini kama John Garang angekuwa hai huu mchezo ungekuwa ushaisha zamanii!
Hao multinational wanaweza fikiria ikiwa tukiwa na offer nzuri. Sababu EACOP ikiwa proposed Kenya ni kwa Sababu ya COALITION OF WILLING (COW) kuiepuka Tanzania kinamna kuanzia vita ya KIKWETE NA KAGAME, Ugumu wa TZ kuingia mikataba ya pamoja kupitia EA.

Hivyo Nyang'au akaitumia vizuri kujipostion kupata vyote wanavyotaka, kuanzia kupitisha mizigo, Miradi ya pamoja.

Mzee akaingia FIGISU ZIKAANZA.

Hata mama akiamua kwa kushirikiana na Museveni ukitumia mgongo wa EAC ni rahisi tu.

I tell you Bro wanasiasa wanachangia maana hilo ni suala la kitaifa ikiwa hamuelewani nchi na nchi hata multinational hana namna.
 
Back
Top Bottom