Hivi hamna scanner kwenye SGR station zenu!?Do you have steel manufacturing factory in Tanzania?
Hivi hamna scanner kwenye SGR station zenu!?Do you have steel manufacturing factory in Tanzania?
Kenya has more scanners than all East African countries combined.Kama unasemea Azam way back walikua hawatumii scanner.Ila Sasa hivi zipo unaweka begi linakuwa scanned na wewe unapita huguswi kabisa ni dakika moja tu unapita zako kupanda boti.
Ila back then walikua wanatumia ukaguzi wa mkono.
But about Kenya tumuulize Teargas vipi hamna scanner!?
Hawa jamaa waki launch kitu lazima wakiandike au wakitangaze kuwa cha kimataifa.Of its kind in EAC 😂😂😂😂
Kwanini mkague vitu lisaa lizima tena kwa mikono!??Kenya has more scanners than all East African countries combined.
Kenya ni nchi ya kimavi mavi sn kaka.Naskia hamuandai CHAN 2024, andaa viti vya Bar upya for Kasarani 🤣🤣🤣🤣
December 31 ni keshokutwa tu. Viti vya baa vinaweza saidia kujazwa fasta.
Yaani mwaka mzima mmetoa macho tu November ndio mnajifanya kukarabati NYAYO STADIUM 😂😂😂
Mambo ya kizamani haya achana nayo ushazeeka wewe, kwani unadhani ni sifa kuwa hujui mambo? Ni ujinga watchman wewe.Mnajua hadi Murkomen, waziri wetu wa michezo huko Mimi hapa hata ukiniuliza jina ya makamu wenu wa Rais sitapata jibu
Dar si yakufananisha na vitu vya kipuuz
Kama zote, kwani Nondo tunatoa kwenu?Do you have steel manufacturing factory in Tanzania?
heheheh nimesema hapa nimeimba atleast umenielewa viongozi wetu sasa hawana uwajibikaji na hakuna mtu anafatilia kabisaa yani ni kama tumelala hvi, hakuna ushawishi kama ilivokua kipindi cha magu, lazma ungesikia fitna na ushawishi umeenda south sudan as long ni east african member, lakini sasa hvi hakuna ufatiliaji kila mmoja yuko busy kujipigia pesa anavowezaSijui shida nini au ego mbona EACOP inaweza msaidia South Sudan kusave na anaweza kua na uhakika na usalama wa Bomba lao ukiona umepita Uganda na Tz nchi hizo zote zinachukulia EACOP kwa umhimu mkubwa.
Viongozi wengine Jau, naona kama siku hizi to be honest kama viongozi wetu wamepoa kwenye figisu hapa EA, ilitakiwa Salva Kiir asiondoke bila kumpropose hiyo kitu.
john garang ndio nani??Kiukweli EACOP ina upperhand kwenye hili maana kutoka Unity state kulipo visima mpaka Lake Albert ni around 800km na Total ana oil fields huko wakati kwenda Lamu port au Port Djibouti ni zaidi ya 1500 km!
Uzuri huu mchezo huamuliwa na multinational oil giants na si wanasiasa! Ila naamini kama John Garang angekuwa hai huu mchezo ungekuwa ushaisha zamanii!
Mnajua hadi Murkomen, waziri wetu wa michezo huko Mimi hapa hata ukiniuliza jina ya makamu wenu wa Rais sitapata jibu
View: https://x.com/EstherNduku_/status/1863452053114151070
MY TAKE
Fitna!
![]()
Amsons Group’s takeover of Bamburi Cement approved
Amsons Group’s takeover of Bamburi Cement approvedwww.globalcement.com
true yani tunaweza kufanya hvo lakini kwa sasa bro hatuna uwajibikaji wala ufatiliaji na ukitaka kuamini haya maneno tizama hata miradi yetu inavojiendea tu 😀😀😀Bora umeona ndio maana nasema tukafanye figisu if hatuwezi fund barabara mmpromise tarrif cut kwa mizigo inayopita as long as kuna kaaslimia flani tunakunja kupitia oil yao.
Mbona Uganda tuliweza kwa kuwaambia Tanga port itafanyiwa kazi na kuwapromise vitu kadhaa.
Ebu tuambie alifungua hiyo miradi lini?so huu mradi anarudia kufungua tena au?😂
angekuwepo yule mwamba ndio ungeona real meaning of fitna yani yule jamaa alikua anakutoa kwenye reli bila mwenyewe kujua kwasasa uongo 😂😂😂 aliwatoa mavi wakenya mpaka walikosa hamu naeHao multinational wanaweza fikiria ikiwa tukiwa na offer nzuri. Sababu EACOP ikiwa proposed Kenya ni kwa Sababu ya COALITION OF WILLING (COW) kuiepuka Tanzania kinamna kuanzia vita ya KIKWETE NA KAGAME, Ugumu wa TZ kuingia mikataba ya pamoja kupitia EA.
Hivyo Nyang'au akaitumia vizuri kujipostion kupata vyote wanavyotaka, kuanzia kupitisha mizigo, Miradi ya pamoja.
Mzee akaingia FIGISU ZIKAANZA.
Hata mama akiamua kwa kushirikiana na Museveni ukitumia mgongo wa EAC ni rahisi tu.
I tell you Bro wanasiasa wanachangia maana hilo ni suala la kitaifa ikiwa hamuelewani nchi na nchi hata multinational hana namna.