Pole yako mkuu.Kiswahili 70% ni kimijikenda wanaoishi Kenya
Kiswahili sanifu misamiati ilitokea katika miji ya zamani ya Kilwa kuja Kanda ya kati ya Tanzania bara.
Kwingine huko kumechangia misamiati michache sana.
Pole yako mkuu.Kiswahili 70% ni kimijikenda wanaoishi Kenya
Endelea kujidanganya hakuna anayekukataza🙂Kiswahili 70% ni kimijikenda wanaoishi Kenya
Hiki kimbelembele cha Kundustans huwa Tanzania pekee in the EA region hukiweza! Nakumbuka kipindi cha kugombania bomba la Mafuta la Uganda mawaziri wa Kundustan wakina Peter Keter walikuja Tanga kama muendelezo wa fitna za Kenyatta Paris wenyewe wakiziita shuttle diplomacy in trying to win back the project!
Kilichowatokea walibaki wakilalamika the whole month!
![]()
Africa - Latest African News, Videos and Opinions | CGTN
The latest Africa-focused news, videos, and photos on politics, economy, society, and culture from CGTN Africa. Through on-the-ground reporting and in-depth analysis, we bring global audiences closer to Africa’s stories, perspectives, and developments shaping the continent and beyond.africa.cgtn.com
Kwanza walivyotua na chopper wakaambiwa wame-land bila kibali na passport zao zikawa-confiscated immediately! Wakashikiliwa mpaka delegation ya Uganda ilipomaliza kilichowaleta Tanga! Museveni is letting me down!
View: https://youtu.be/UrBkAg_GNgE?si=RA8iYjFzfWX0qo1j
This is not enough…
View: https://youtu.be/mMQ6duTjoXM?si=owrJm6x7AWujhyve
BTW kuna hii issue pia!
View: https://youtu.be/J0GN0VG4XqI?si=yJwyzUIDhXJF0bO-
shida kubwa hakuna uwajibikaji kabisaBotanical Garden ya Dar city Centre wangeanza nayo
Agreed 💯 %Botanical Garden ya Dar city Centre wangeanza nayo
Mbona hii ipo pale Azania sec school, unakuta miti ina hizo tag zenye jina la mti kisayansi na kingereza.Kuna hotel moja nilipata kukaa kwa siku chache nearby O.R Tambo miaka hiyo, kitu kimojawapo kilichonivutia jamaa kila mti uliopo eneo lao una tag, na hiyo tag ina jina la mti wenyewe kisayansi na kiingereza, mandhari yake ilikuwa ni nzuri sana, ilinichukua muda kusoma mti baada ya mti, wish tunge-adopt this kwenye maeneo yetu muhimu, mwishoni lazima uwe very calm nature hutibu mioyo, nafsi mwili na akili.
Kwani unazani hawajui? Ni pirika pirika za mtu mweusi tu katika harakati za kuramba teuzi.kumbe umekiri tulikua tunagombea na pia umekiri kulikua na fitna kubwa sana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
naomba nitunze hii risiti plz
Na wahudumu wao wa afya wamegoma serikali iko broke.Wanajipiga kifua hapa kila kukicha mara "oooh bajeti kubwa" mara "gdp kubwa" kumbe mambo madogo kama elimu bure from primary to secondary ni kizungumkuti.
Inabidi tumpe tour ya airports Tanzania, aje bara pia aje atembelee Msalato, Kilimanjaro, Bukoba, Arusha, Mwanza na Songwe airports then Iringa, Tabora, Shinyanga, Musoma, Kigoma, Mpanda, Sumbawanga, Mtwara na Lindi esp. zitakapokamilika!
Niliwaambia mnionyeshe penye Ruto alisema Tanzania imeshinda Kenya in every aspect mkalemewa. Baba Lego said that Nairobi is far better than Dar and I can bring the clip lakini there is nowhere Ruto said Tanzania is better than Kenya in every aspect vile mnajaribu kuongeza chumvi.Chokoraa unayaamini maneno ya mropokaji baba levo,then hutaki kuamini maneno ya rais wako!
Tanzania 8,000 health facilities
Any person can mention kama unavyofanya.Tanzania 8,000 health facilities
Kenya 16,000 health facilities.
Any person can mention kama unavyofanya.
Every kenyan now is inspired by everything happening in Tanzania.
View: https://www.instagram.com/reel/DDBZ-tjNC6K/?igsh=MWE4MHFpcXF3bmxjZg==