Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I saw this video on Facebook nikabaki na mshangao sana na kujiuliza hii battle ni ya nini. Yani uswazi kila Kona and unpaved roads is the order of the day everywhere. Dar es salaam is ugly from a bird's eye view.
So, unataka kufananisha Dar na Nairobi? Yani Nairobi iliyojaa ma slums left, right and center ufananishe na Dar isiyo na slums? Unaumwa wewe, rekebisheni Nairobi kwanza inanuka ndiyo mje mlinganishe na miji ya watu iliyostaarabika.
 
Ro
The country is rotten to its core.
Aisee mtindo huo walikua wanao wakaguzi wa Azam marines,mara watoe vitu kwenye begi wachakue hovyo ndio upite.
Ilikua inakera inaharibu privacy ila wameacha wamebadilika.
Sasa hawa ndugu zetu SGR damn whole hour unasachiwa aiseeee😂😂😂😂😂.
Umeshachoka kabla hata haujachoshwa na safari ya mtikisiko wa nginja nginja wa masaa 6.
 
Kinamna The best 007 utabiri wake unakuja kutick.
Kaka mm nawajua hawa jamaa hawana lolote zaidi ya mdomo mpana tu, huwa wanaongopa sana, hiyo Nairobi tu jamaa yangu ametoka huko juzi anasema hakuna mji pale, mauchafu kila kona, mji mchafu saanaa tofauti na alivyokuwa anaambiwa, uchumi wao hautoshi kuandaa michuano hii piga ua, labda caf wawaonee huruma kuandaa Chan lkn afcon wasahau.
 
Aisee mtindo huo walikua wanao wakaguzi wa Azam marines,mara watoe vitu kwenye begi wachakue hovyo ndio upite.
Ilikua inakera inaharibu privacy ila wameacha wamebadilika.
Sasa hawa ndugu zetu SGR damn whole hour unasachiwa aiseeee😂😂😂😂😂.
Umeshachoka kabla hata haujachoshwa na safari ya mtikisiko wa nginja nginja wa masaa 6.
Kwani hawana scanners at their stations?
 
Kwani hawana scanners at their stations?
Kama unasemea Azam way back walikua hawatumii scanner.Ila Sasa hivi zipo unaweka begi linakuwa scanned na wewe unapita huguswi kabisa ni dakika moja tu unapita zako kupanda boti.
Ila back then walikua wanatumia ukaguzi wa mkono.

But about Kenya tumuulize Teargas vipi hamna scanner!?
 
Kaka mm nawajua hawa jamaa hawana lolote zaidi ya mdomo mpana tu, huwa wanaongopa sana, hiyo Nairobi tu jamaa yangu ametoka huko juzi anasema hakuna mji pale, mauchafu kila kona, mji mchafu saanaa tofauti na alivyokuwa anaambiwa, uchumi wao hautoshi kuandaa michuano hii piga ua, labda caf wawaonee huruma kuandaa Chan lkn afcon wasahau.
Ule uwanja wao wa Kasarani hizo pesa zilizotumika na renovation iliyofanyika unachoka na kulia!!
😂😂😂😂😂Mara ya ngapi sijui wanafanya renovation ya Kasarani.
Tusubiri tuone hiyo Talanta will it be finished early and will it meet CAF/FIFA standards!??
 
Back
Top Bottom