Luckin Ivy Residence Westlands, 25 floors.Ningeomba mtu mwenye muda apitie site za kariakoo apige picha za renders kwenye billboard za majengo ya kariakoo yanayojengwa. Naona kuna mkunya anajitekenya ovyo eti akuna majengo yenye 15 floors and above yanayojengwa Dar...
Huu mzigo unashushwa na bigbog kariakoo. Kwa sasa ni sheria kuweka renders kwenye majengo yote ya kariakoo yanayojengwa. Wasije baadae kulalamika wakishaona Dar imebadilika....Au tuwaache waendelee na ujinga wao,,😜😜😜View attachment 3161651
Kwenye ku launch skyscrapers tulishatoka...Dar Kila siku watu wanaomba vibali vya kushusha majumba na kupandisha skyscraper... Kariakoo inafumulia Kila Kona....Wakati Nairobi tushachoka na kuona majengo ya 30 floors, nyinyi bado mnaitana kutafuta majengo ya 15 floors kwa torch nchi nzima, kuwa na aibu kijana.
Marble West 31 Floors, Westlands.
View attachment 3161662
View attachment 3161663
Nyinyi Bado mnakimbilia skyscraper city,😜😜😜 Kinondoni Kuna jengo la over 20 flrs umu alijawai kuwekwa. Huu mwaka mtalia sana... Nimekuwekea ghorofa la mswahili Bigbon umekimbilia renders za skyscraper city. Atuweki tena renders mtandaoni mtazikuta site.Misty Spring Westlands, 29 floors.
View attachment 3161690
View attachment 3161691
View attachment 3161692
Kariakoo mitambo inachimba Kila siku uko mashimo ya kunyanyua skyscraper za maana. Renders mtazikuta site. Nikipata muda nitakuwa nitawapigieni picha.Le Mirage Westlands, 30 floors.
View attachment 3161682
View attachment 3161683
View attachment 3161684
View attachment 3161685
Nakuoba ufukunyue renders zako zote umalize... Siku nikienda Kariakoo pekeyake itashindana na renders zako zote.. Picha itapigwa uku majengo yanajengwa ndo utaijua Bongo Dar es salaam.Misty Spring Westlands, 29 floors.
View attachment 3161690
View attachment 3161691
View attachment 3161692
Ningeomba uchague kati ya Upanga na Kariakoo nikuwekee renders za wapi kutoka site sio za mitandaoni.... Sababu na Upanga pia mitambo inafukua mashimo ya skyscrapers sio mchezo.. Na renders zipo kwenye billboards. Hakuna nchi inaongoza kwa kuficha maendeleo yake kama Tanzania. Ilo nakwambia.Misty Spring Westlands, 29 floors.
View attachment 3161690
View attachment 3161691
View attachment 3161692
Mbona kitambo tu hii?
View: https://x.com/ChineseEmbTZ/status/1859508801428209886?t=Fo_QjqNkgjI2R2ikyIbHhQ&s=19
My Take: Matunda ya ziara za Nje za Rais Samia.👇👇
View: https://x.com/MkindiJackie/status/1859480476295086587?t=7s6Q0gjJJX9Z6JFFUTFAUA&s=19
Hilo litakuwa tapeli la kibera
Unakuta zaidi ya kibera Hana experience hata ya robo ya NairobiWasikilize wakenya wenzako... they travelled 1200km in Tanzania without see any pothole...and all roads are tarmac.
Wanasema wenyew kuwa Tanzania has best roads compared to kenya
Nyinyi wakenya wa eldoret ndo mko hapa mnasema Nairobi alone has 7000km😂😂
View: https://youtu.be/N_5vVmMg5tw?si=QMazkDz_dChJ1OoZ
Majengo yanayojengwa na Tanzania upanga Bado mnajengewa na wachina?🤷🤷🤷 Tulia nipate nipate muda vizuri nikupigie picha za ujenzi na render zake kwenye sign boards za ujenzi... Naona Kwa kuwa mko jobless kila mtu ana huo jobless wa kwenda skyscraper city...
A hotel is not a residential building fool. 300m for 56 floors is 5.3m per floor which is very practical.Still halifiki 300 m! BTW that building looks like a hotel so tell me why not a residential building?
Residential=hotelA hotel is not a residential building fool. 300m for 56 floors is 5.3m per floor which is very practical.
We vipi? Unaishi nje ya Dar?So Machinga wamehamia darajani? Kwani Upuuzi wa Magufuli bado Unaendelea? Juzi ajali ya kuporomoka jengo kariakoo waokoaji wameshindwa kupita!
Wapo everywhere huku ubungo interchange kimara, manzese na wanarudi kwa kasi.So Machinga wamehamia darajani? Kwani Upuuzi wa Magufuli bado Unaendelea? Juzi ajali ya kuporomoka jengo kariakoo waokoaji wameshindwa kupita!
Ile effort ya mama kuwaondoa iliishia wapi au uchaguzi umekaribia?So Machinga wamehamia darajani? Kwani Upuuzi wa Magufuli bado Unaendelea? Juzi ajali ya kuporomoka jengo kariakoo waokoaji wameshindwa kupita!
Remember mna chance ya kuwaondoa na mlishafanya kuwaondoa ila ndio kwanza wanaanza kuzidi, na ongeza Boda boda na Bajaji mjini.Aliruhusu Machinga kufanya biashara barbarani!
Will Tanzania ever catch up?Habari iwafikie.
12 Towers of 32 floors each along Mombasa Road.
View attachment 3161408View attachment 3161409
Sio kitambo ,hiyo taarifa imerupotiwa wiki Jana ,husomi tarehe?Mbona kitambo tu hii?