Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kaka tulichoshinda sisi ni kupunguza kodi na kununua hisa ya 15% na bahar nzuri huku ardhi ni mali ya serekali ndio maana hata mradi ukashuka cost yake lakini ukienda head to head walipaswa kushinda ila sisi tulitumia fitna na ushawishi ambacho ni kitu kizuri sana tulifanya

kwa sasa tusikatae hatukua kwenye ushindani wa kulazmisha uganda kutumia SGR yetu tusikatae kabisa, tumeshindwa kwasababu kwa sasa hakuna ufatiliaji wala ushawishi wowote
Mkumbushe kuhusu Coalition of Willing (COW).
 
hvi unategemea mombasa to uganda kwa SGR cost yake itakua sawa na kutoa mzigo dar upeleke mwanza upakue ueke kwenye meli iende port bell tena ibebwe kwenye treni iende kampala

tusijidanganye hata kidogo tumeshindwa vita tukubali, kitu mm nashangaa kama tulijua mombasa ni karibu sana kwann tulikua tunashindana kujenga SGR through bukoba na kutumia njia mwanza to port bell, sijui tulikua tunashindania nn sasa au kwa sasa hakuna ufatiliaji??
Kwani hata Sasa ukijenga Sgr through Bukoba ndio Uganda wasingejenga ya kwao ku connect na Kenya?

Kama mnashindana kujenga Sgr kwenda Uganda via Bukoba ndio ingezuia Kampala-Malaba-Nairobi-Mombasa pasiwe pafupi?

Huna hoja ,naungana na aliyesema lengo la Sgr NJ Burundi na DRC vinginevyo rudini kwenye hoja yangu ya Sgr ya mapambo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tunajenga meli kubwa za mizigo lake Victoria na Tanganyika in under 24 hours mizigo iko Port bell Uganda.
shida sio kujenga shida ni tutaweza kuzisimamia na tukawajibika ipasvyo ili kuleta ushindani wa kweli???

jana nilikua tanga naangalia fainali ya shimuta nje ya uwanja nikaona V8 ya serekali kuna mtu kalala ndani ya gari anakula AC zaidi ya lisaa na nusu gari inaunguruma inakunywa wese tu, nikajiuliza maswali mengi sana
 
Hakuna aliyeforce na kuingilia deal la bomba la mafuta mwenye mradi TOTAL ndio kaamua lipite Tanzania kwasababu muda wa utekelezaji ungekuwa mfupi na gharama nafuu pamoja na security ya mradi wao.
usiseme hakuna alieforce wakat tulikua tunatuma ujumbe mara kwa mara kwenda uganda kufanya maridhiano na kutumia ushawishi wa kutumia tanzania na mmoja wa ujumbe hao alikuwepo prof kabudi, na last time niliona mseven amekaa na wajumbe kutoka tanzania na kenya ili kujadili wapi litapita leo tunaongea vitu gani jamani😂😂😂
 
Unasema washamba? Wakati Nairobi watu wanaiba taa za barabarani, traffic lights na battery zake.... Nairobi ni barabara chache sana traffic lights zinafanya kazi....ziliibwa na kuharibiwa mpaka wanaweka traffic police siku hiz...
Ebu tutajie hizo barabara chache zenye traffic lights zinafanya kazi.

Huwa unajifanya unajua Nairobi na hakuna unachojua hata moja, last time you said you have stayed in Nairobi nikakuuliza wapi specifically ukashindwa kujibu. Leo hii nataka ututajie hizo barabara chache zenye traffic lights. Then at night I’ll do a night drive in one of the roads zenye hujataja tujue nani muongo.
 
Ni sawa mzee ila logic and rational yako ipo kama ChoiceVariable.

Hatuwezi jua mpaka Uganda afikie huko huenda upo sahihi. Ila mzee uwasilishaji wako wa mada these days ni kama sio wewe yule tuliyemzoea.

Ni kweli inafikirisha Uganda kwenda Kenya na reli yake ya Electric akaacha ya Tz ambayo Mwanza tayari inajengwa.

Let's see.
ndio hichi nachozungumza hapa muda wote kwa sasa hakuna uwajibikaji wala ushawishi hata waziri mkuu wa nchi hii humsikii makamu humsikii kabisa.

ikiwa tunapeleka reli mwanza kwa ajili ya uganda alaf leo uganda anajenga kwenda malaba kuunganisha na kenya unafkiri tutaweza kushindana na mombasa to malaba ambayo kwao ni simu moja na nusu treni iko kampala kwetu itachukua 3 days na ukiweka na mambo ya kutowajibika hata siku 5 itachukua

wakat mwengine tukubali ukweli sio kila kitu kusifia tu all the time wakat mambo yanaharibika
 
Mkono wa chuma unahitajika hapa.

Hata Katarama kupigwa mawe kuna watu wanachekelea.

Bongo tuna kawaida ya kuchukulia vitu poa sababu hatupati consequences ya actions zetu. Ifike mda kila mtu awe analipwa na ujinga wake au wema wake.
nikisema hapa naonekana mamluki haya mambo ni aibu inasikitisha sana hakuna mtu anawajibika wala kuwajibishwa.

tumerudi kwenye mambo yale yale mtoto wa mjomba na shangazi
 
Majority of DRC minerals ziko huko sides za Uganda and that’s where railway is heading, nyinyi itabidi mbaki tu na Burundi juu sioni mkifaulu kufika to the core of DRC minerals.
wewe nae chizi majority ya DRC minerals yanapita through zambia border inaitwa kasumbalesa kama kitu hujui uliza uelimishwe kunguni wewe 😂😂
 
Kwani hata Sasa ukijenga Sgr through Bukoba ndio Uganda wasingejenga ya kwao ku connect na Kenya?

Kama mnashindana kujenga Sgr kwenda Uganda via Bukoba ndio ingezuia Kampala-Malaba-Nairobi-Mombasa pasiwe pafupi?

Huna hoja ,naungana na aliyesema lengo la Sgr NJ Burundi na DRC vinginevyo rudini kwenye hoja yangu ya Sgr ya mapambo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kwani bomba la mafuta kupita tanzania je haikuondoa urefu wa kupita lamu kua mfupi zaidi 😂😂😂😂😂

shida yako ww hua unakurupuka sana sasa hvi kuna vita baridi ya kiuchumi kati ya tanzania na kenya kama huna watu wakuwajibika na kufatilia kuna mambo mengi utayasikia kwa jirani
 
Unasema washamba? Wakati Nairobi watu wanaiba taa za barabarani, traffic lights na battery zake.... Nairobi ni barabara chache sana traffic lights zinafanya kazi....ziliibwa na kuharibiwa mpaka wanaweka traffic police siku hiz...
Kutupia gari mawe ni ushamba. Kung'oa traffic lights ni wizi (ambao upo hata hapo Vumbistan).
 
Kwani hata Sasa ukijenga Sgr through Bukoba ndio Uganda wasingejenga ya kwao ku connect na Kenya?

Kama mnashindana kujenga Sgr kwenda Uganda via Bukoba ndio ingezuia Kampala-Malaba-Nairobi-Mombasa pasiwe pafupi?

Huna hoja ,naungana na aliyesema lengo la Sgr NJ Burundi na DRC vinginevyo rudini kwenye hoja yangu ya Sgr ya mapambo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mzigo wa Uganda ni wa kugawana!
 
Back
Top Bottom