Hao wawili wamepewa suits na shirts mpya na wachina angalia vizuri tena zinazofanana 🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 unavaa makoti hayo. Watazame wachina walivyo vaa hali mjiangalie na nyie. Mnakaa kama Sokwe
View attachment 3157943
View attachment 3157947
Hao wawili wamepewa suits na shirts mpya na wachina angalia vizuri tena zinazofanana 🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 unavaa makoti hayo. Watazame wachina walivyo vaa hali mjiangalie na nyie. Mnakaa kama Sokwe
View attachment 3157943
View attachment 3157947
Hatutaki mchezo sisi
Wazee wa kuongeza 0 hao. 😂😂😂 hilo daraja kama linafika basi ni 400 mita.1.4 km mbona ka-bridge kadogo?
Mbaka sasa Kenya mmejenga kilometa ngapi za SGR!?Pole kwako, tutafikisha SGR DRC kabla mfikishe yenu huko😂😂
Kenya hawana continuous welded wana jointed rail mkuu.Hahaha naona wameweka catenary poles kama sijiara ya kunyaland... Na pia ni continuous welded kama yenyuu..
Plus ni AREMA standard... Hahaha
Tunaenda taratibu but sure. Made in Tanzania logo
View: https://youtu.be/uM8sVyeZ-Q0?si=4GZMCDNpcu2-vAo-
Sarcasm hiyo....Kenya hawana continuous welded wana jointed rail mkuu.
Nginja nginja on the move.
Acha uongo wewe quack, Tanzania has more blackout than Ethiopia. Ethiopia has power surplus while Tz has no power to satisfy the nation.Umeanza kudata weeeh!??
Hiyo Ethiopia Kila leo inakatikiwa umeme ndio wa export umeme kwetu!?
Mleta habari Mkunya mwenzako kanga lubeta na omali.
Kumbe umeona... Ningeshangaa sanaNaona kitu cha Old Nakivubo kileeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Video gani? Za Morara?I have been posting roads videos here everyday.
Nakutumia no ya simu ya mkurugenzi wa TANTRADE uongee naye.Mil 3 ndogo sn kwa jambo la kitaifa kama hilo.
I mean do you think sina spatial knowledge?What are you trying to say sir?😂😂😂
You're poor in it.I mean do you think sina spatial knowledge?
Sawa keep believing that. Siku nikianza watia dole msianze kulalamika.You're poor in it.
Sawa.Sawa keep believing that. Siku nikianza watia dole msianze kulalamika.