Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo taarifa ni kutoka Mama Ngina Propaganda machine.
So siku hizi mama Ngina pia anatengeneza takwimu za Tanzania?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

IMG_0778.png
 
Huwa tunafanya kazi kwa vipaombele vyetu Uganda sio kipaumbele chetu ila ikitokea poa kipaombele chetu ni DRC na Burundi kwa sasa
Burundi is important than Uganda? Burundi with a Cargo volume of 500k tonnes ? You must be jocking๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nakuambia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Hata hiyo Pipeline wanaongelea ni land corruption in Kenya ndio iliwasaidia. Hao wanasifu Magufuli not knowing that greed of our politicians and other land owners ndio ilifanya Total to change route
Hawawezi jua vile watu walicheza.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hawawezi jua vile watu walicheza.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hata mimi ningekuwa na shamba along that lane ningejenga hata choo in that land and then I inflate the price 3x to get more money during compensation ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hizo ni za Districts. Tuoneshe sasa za TARURA.
Hizo ni za TARURA, look at the part circled in yellow๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

And the 3,000km involve both urban and Rural roads๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

IMG_0785.jpeg
 
Back
Top Bottom