Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Did your football body even understood the accusation? Where have they addressed the substitution of wrong number which didn’t appear on the substitution list that was submitted to AF?
We nawe nini si wamesema official na opposition team wamepitia majina.

Kwenye majina si kunakua na namba?

Baada ya kupigwa ndio wanatafuta excuse? Eti namba.

Tunaenda utake usitake.
 
We nawe nini si wamesema official na opposition team wamepitia majina.

Kwenye majina si kunakua na namba?

Baada ya kupigwa ndio wanatafuta excuse? Eti namba.

Tunaenda utake usitake.
Do you know the accusation? Ebu tuonyeshe number 26 in that list submitted to CAF.


View: https://x.com/hfworld_/status/1859618332434948522

1732252148719.jpeg
 
Najuaje hiyo list ni yenyewe?

Still haiwezi kufanya tuwe disqualified so far ni Faini labda mchezaji asingekua ameorodheshwa. Tafuta vingine vya kujifariji kijana.

#AFCON2025MORROCOOOOOOOO

WAPI KUNYANS?
That’s not the only accusation. Alafu kama unapinga hiyo list basi mbona msitoe yenu tuone kama jersey 26 was in the list submitted to CAF.

Some of their accusations are as follows;

1. Tanzania shifted playing time from 7PM to 1PM hence affecting their players.
2. Kenyan officials were selected by Tanzania as commissioners and security hence undermining the dignity of the competition.
3. Fielding of an ineligible player.


Those are 3 serious accusations.
 
That’s not the only accusation. Some of their accusations are as follows;

1. Tanzania shifted playing time from 7PM to 3PM hence affecting their players.
2. Kenyan officials were selected by Tanzania as commissioners and security hence undermining the dignity of the competition.
3. Fielding of an ineligible player.


Those are 3 serious accusations.
Umeyatoa wapi kijana?

1 na 2

Naona unaumia si mchezo.


Sisi haooooo MORROCO
 
Back
Top Bottom